Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

1kush africa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
9,552
Reaction score
13,090
Kiukweli hapa nawakilisha KE/ME tulio hatuna viburudisho,, tunapata wivu pale mnapoanza kuoneshana mahaba ktk status zenu,, kiukweli tunabaki kujichekesha tu ktk status zenu,,, tupotupo tuu,,, yaaan

[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Surely hakuna mahusiano yenye uhalisia jf .ni mchezo tu unachezwa na wataalam na kiukwl umefanikiwa kwan wamefanikiwa kukuaminisha kuwa wanakuwa na mahusiano ya mahaba ya kwl kumbe it,s just a game.
kumbe just a game?;[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanatucheza betting ktk jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…