Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila dada huwa unanichekesha sana na comment zako yan unaongea ukweli mtupuuu
[emoji23][emoji23] tuambiane tu ukweli mu dear
 
Mbona kuna wengine wanaplay game tu...mtu ana id mbili,moja ya me na nyingine ya ke,anajitongoza mwenyew anajikubalia mwenyew na ile id ya ke.....maisha yanasonga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha ngoja na mm nijiplaishe...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom