Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeeh huamini mm badoooo nipo hot chuchu saa 6 bado sjawa tukibaby
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeeh huamini mm badoooo nipo hot chuchu saa 6 bado sjawa tukibaby
Naheshim wake za watu ila kwako nitashindwa hazard Unisamee[emoji23] [emoji23] [emoji23] da'vinci mzee wa visa
Hahahaha utukinao haukwepeki lakini...kwa hyo zile siled za utelezi zinakuhusu sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeeh huamini mm badoooo nipo hot chuchu saa 6 bado sjawa tukibaby
Uweeeee staki hata wadada wakusalimie[emoji23] [emoji23] babe unanijazaa sio,,nina uhesamu gan buanaa
Weee unataka hazard akutoe menoNaheshim wake za watu ila kwako nitashindwa hazard Unisamee
Hahaha jana niliona uzi mlipoanziaHivi unazani Mshana alivyoniambia Nakuloveee loooh niliruka rukaaaaaa balaaaaaaa
Kuna watu wengine haina haja ya kuzungushaaaa
[emoji41] [emoji41]Naheshim wake za watu ila kwako nitashindwa hazard Unisamee
[emoji23][emoji23]Demmis hembu uanzishe thread itakayokutanisha couples zote huku....tuwe tunabadilishana mawili matatu huko
sasa si wanajua na mim rem ongala..wacha wanipe hi tuUweeeee staki hata wadada wakusalimie
Khakhakhaaaaaaa Smart911 Chama kubwa humu.. Mambo yake yalianza tangu enzi za mabibi na mababuuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wew unafikiri itakua je tukigundua wew ni shunie,,au mimi ni jolie jolie au mshana ni demmis au smart ni mahondaw??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23]@yn12 si upo singo ww fanya basi tubebishane Jf kugumu ukiwa mwenyewe
[emoji23][emoji23] tuambiane tu ukweli mu dear[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila dada huwa unanichekesha sana na comment zako yan unaongea ukweli mtupuuu
Huu mzuri mwenzangu Kuna ule wa from nowhere mtu anakuvamia na mitusi tu unabaki kumshangaa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] huyu katokea wapi kwani!! Au ndomana mambo ya matipo idiz!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wivu mzur huuu lakini
Hahaha ngoja na mm nijiplaishe...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona kuna wengine wanaplay game tu...mtu ana id mbili,moja ya me na nyingine ya ke,anajitongoza mwenyew anajikubalia mwenyew na ile id ya ke.....maisha yanasonga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sema neno roho yangu irambe barafu..[emoji23][emoji23]
Ahad yak waikumbka MziguaPambaneni na hali zenu