DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Ila ka baby walker nako muhimu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] swaaafi sana maisha ni nyumbaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ka baby walker nako muhimu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] swaaafi sana maisha ni nyumbaaaaa
Itapendeza mkiwa nyote na Mr Tunguli maana nakumbuka show moja tuliyopiga Mabibo.Weekend nakuwa kwa mme wanguuu sasa Dom wapi na wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee poleee sanaaNiliwahi sema uliamua kunichomesha mahindi, halafu nikija nakuletea mafuta mazuri ya perfume kama zawadi.
Tumsukume kama hivii eeehHatar sana
Tumuombee lakin
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani si uongo sijawahi tena uwe uzi wako au ume comment sijawahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha sana akiiiii
Ukaanza kuikimbia id ya Demiss looh unisamehe saba mara sabini mkuu
Pole poleee nitajuaaaJifunze uwe unatengeza mwenyewe
Nileteee karafuuu jino linasumbuaaaaSawa nakuletea na halua ya Wete Pemba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku ikiisha nguvu unaumbuka laa ikizidi mnakuwa kama kumbikumbi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
BMWIla ka baby walker nako muhimu
JitahidPole poleee nitajuaaa
Mlikiwa na michepukoo au?Itapendeza mkiwa nyote na Mr Tunguli maana nakumbuka show moja tuliyopiga Mabibo.
AminaAiseeee nilkuwa sjui yan nashukuru yameishaaa
Aiseeeeeh nashukuru sana kwa ushirikiano[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani si uongo sijawahi tena uwe uzi wako au ume comment sijawahi
Porsche itafaaa
Yani itabid tutafute kipikipi posta jf kiwe kinasaidia kuunganisha couplesAaaaaahaaa
Mwanzo mgumu sio utani
SawaaaaJitahid
Sawaaa kabisaa ila mm hiyo ndo inanivutiaaaPorsche itafaaa
Unaweza hio kaz ?Yani itabid tutafute kipikipi posta jf kiwe kinasaidia kuunganisha couples
Usijali, si unajua ukichanganywa na shemela kisha unasoma jujuu bila kuelewa unaropoka tu usijaliAiseeeeeh nashukuru sana kwa ushirikiano