Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

Hatar sana

Tumuombee lakin
Tumsukume kama hivii eeeh
image_search_1522752894246.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha sana akiiiii

Ukaanza kuikimbia id ya Demiss looh unisamehe saba mara sabini mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani si uongo sijawahi tena uwe uzi wako au ume comment sijawahi
 
Siku ikiisha nguvu unaumbuka laa ikizidi mnakuwa kama kumbikumbi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom