hommie hebu toa maelezo hapo kwenye RED:A S angry:
Ulipomsaidia, Rozi aliionaje KAZI YAKO? Hapa napeleleza ishu ya Kisukari.....
babuuuuuuuuuuuuuuuuu...unapeleleza issue ya kisukari siyo????
ahh raha kweli kweli
:boxing::boxing::boxing:Ukiwa unapite ile njia nitawaambia wakiona gari lako wanaweka magogo
KAIKUBALI!....
KAIKUBALI MKUU!
hivi ninavyokwambia hapa nina miadi nae KINGSTAA EXECUTIVE LODGE!
Kwa maana ya kuitii rule # 3?
need i say more?ahh tyeamo janman we mchokoz mpk basi......dah nacheka apa mbavu sna!!!!!
ngoja nishauriane na MGONJWA ili tujue km tumwache LIJARI te-amo aendelee kuaplod vitu ama lahh..gve me a sec niende chumban nkazungumze na MGONJWA WANGU.........i wl b bak ..endelea kunywa VALUU HIYO KWA MAANDALIZI YA KAZI YA BAADAE iyo seblen apo...
:boxing::boxing::boxing:
vidig dig kwa kutaka sifa mweeeeeeee havifai!!!!!!!
need i say more?
haya HUO NI USHAHIDI NAMBA SITA
Hiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!Hivi vidigi unavyovizungumzia hapa ni mfalme wa ISC? Mi nlifikiri unamaanisha Ze Fainesti...
Ngoja babu akakande kiuno chake kwanza. Mesahau mkongojo wake leo....:smile-big::smile-big::smile-big:
Hivi ukitafuna UKOO kwa bidii unapona kisukari?ahh tyeamo janman we mchokoz mpk basi......dah nacheka apa mbavu sna!!!!!
ngoja nishauriane na baba ili tujue km tumwache mtoto dig dig ajifunze kuaplod vitu ama lahh..gve me a sec niende chumban nkazungumze na babayako...........i wl b bak ..endelea kunywa mirinda iyo seblen apo...
need i say more?
haya HUO NI USHAHIDI NAMBA SITA
Hiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
katika hali ya kawaida MFALME anaweza kuwa DIGIDIGI?
kijana ze finest anataka kuweka magogo kwenye njia nazopita mimi.ahhh bigirita usilie bwna....poole nyamaza bwana
unalizwa na dig dig...ahh apana bwana
ao yao maneno tu ..utekelezaj f!!!!!!!!
Ewaaaaaaaaaa!
Sasa wewe ndo umthibitishie babu kuwa ni nani mwenye kisukari kati ya Baba G na Roya:
Uniambie ulitumia vigezo/vipimo gani? Otherwise ugonjwa utakurudia wewe!!!
Mfalme waWe mfalme wa digidigi wenzio.....
Naanza kuona dalili za mtu kupewa dizel akaambiwa ni valuu!Mwenye kutumia jina la mapepe kina Rose, nasubiri jibu la swali langu hapa......:doh::doh::doh:
kijana ze finest anataka kuweka magogo kwenye njia nazopita mimi.
Ngoja niwasiliane na mama B amkaange kama makange leo. si dig dig huyu huyu ambaye anaweza kuwa kitoweo?
hicho ni kitoweo cha mfalme!Mfalme wa