The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
ahh yule muhudumu kiboko ...bigrta et ..ebu rudia tena..umesemaje....ili mrad tu asikie kasaut kake
babuu akienda pale atamsahau mjukuuu bora asiende....
wewe hukuchukua number? hahahaa!Big hivi yule Eliza wa pale marangu mwenye macho ya kichina na sauti kama ya mtoto wa miaka miwili babu akimuona si atakuwa anaenda huko bila hata sisi kujua
ndyo!!!!!
nataka kuuona
Hahahaha! Vijana hatari sana hawa kumbe. Hawachelewi kumchanganya na babu yao.
BTW Generation Y kafumaniwa gesti gani? Au mkoloni anampatia mimba ya mchana wa jua kali?
ahh yule muhudumu kiboko ...bigrta et ..ebu rudia tena..umesemaje....ili mrad tu asikie kasaut kake
babuu akienda pale atamsahau mjukuuu bora asiende....
mi sihitaji number, namtuma kijana wa jirani tu anaenda kumuita.Big nafikiri alichukua namba ya yule mwingine mchina
Umeanza eeh!Tatizo mkongojo wa babu ushapinda. haufai wajukuu kuushika, hauchelewi kuwadhuru. Fanza maharifa basi umletee ugoro babu.
wewe hukuchukua number? hahahaa!
Umeanza eeh!
ndo ivo babu!!!Babu hasahau wajukuu zake. Hivi na wewe si mjukuu wangu pia? Nshakusahaugi?
ndo ivo babu!!!
naona LOBBING inaendeleaSasa kama walijua hilo inawaje hata umkumbuki babuyo japo kwa ugoro? Au kwa kuwa we ni wa upande wa kikeni?
Babu si mbaguzi. Karibu.
naona LOBBING inaendelea
mi nilikuwa nasema LOBBING TU.....!Kuwa na nidhamu, babu anapokuwa na wajukuu zake. Nawe zalisha upate raha ya kuitwa babu.
mi nilikuwa nasema LOBBING TU.....!
nidhamu ipo mkuu!...
lakini naona uliyemzaa (ROYA) ni diabetic...si rizki
Hivi.......?
Hii Roya Vs Baba G
The Finest Vs Bigirita
Imesababishwa na hizi hizi taxi, lami, dabo rodi au ze nidful?
Mbona mimi na Homeboys Kaizer na Kimey tunashea valeur bila ugomvi wowote?