Wenye majina ya rose!

Wenye majina ya rose!

ahh yule muhudumu kiboko ...bigrta et ..ebu rudia tena..umesemaje....ili mrad tu asikie kasaut kake
babuu akienda pale atamsahau mjukuuu bora asiende....

Kale kasauti katamfanya babu kila siku awe anaenda pale
 
Big hivi yule Eliza wa pale marangu mwenye macho ya kichina na sauti kama ya mtoto wa miaka miwili babu akimuona si atakuwa anaenda huko bila hata sisi kujua
wewe hukuchukua number? hahahaa!
 
Hahahaha! Vijana hatari sana hawa kumbe. Hawachelewi kumchanganya na babu yao.

BTW Generation Y kafumaniwa gesti gani? Au mkoloni anampatia mimba ya mchana wa jua kali?

Mkoloni wake tineja halafu mwanamke
 
ahh yule muhudumu kiboko ...bigrta et ..ebu rudia tena..umesemaje....ili mrad tu asikie kasaut kake
babuu akienda pale atamsahau mjukuuu bora asiende....

Babu hasahau wajukuu zake. Hivi na wewe si mjukuu wangu pia? Nshakusahaugi?
 
Umeanza eeh!

Mdogo mdogo muzee. Babu na wajukuu ni watani wa jadi. Kushika sharubu za babu wakati akioga ni halali yao.

Kisha wampaka mafuta babu yao, ngozi yake isifubae. Ndo uzuri wa kula chumvi mingi na magadi.
 
Hivi hii thread inaongelea nini mbusi, dabo rodi, mkongojo, simba asiye na meno, au :rip: Roya
 
Kuwa na nidhamu, babu anapokuwa na wajukuu zake. Nawe zalisha upate raha ya kuitwa babu.
mi nilikuwa nasema LOBBING TU.....!
nidhamu ipo mkuu!...

lakini naona uliyemzaa (ROYA) ni diabetic...si rizki
 
msitupe presha wengine wachumba zetu majina yao ndo hayo tusije kughaili bure kuoa!
 
mi nilikuwa nasema LOBBING TU.....!
nidhamu ipo mkuu!...

lakini naona uliyemzaa (ROYA) ni diabetic...si rizki

Roya si mjukuu wangu.

Babu huyu hawezi kuwa na mjukuu wa calibre ile....Yule ni mtoto wa kufikia.
 
Hivi.......?
Hii Roya Vs Baba G
The Finest Vs Bigirita
Imesababishwa na hizi hizi taxi, lami, dabo rodi au ze nidful?
Mbona mimi na Homeboys Kaizer na Kimey tunashea valeur bila ugomvi wowote?

Hommie shida ya hao ni uroho tu yaani changu changu chako changu teh teh teh......
Hommie nimiminie hiyo valeur kidogo naona kwangu imeisha........Kugawana ni kujali banaa!!:yield:
 
wakuu hivi haya niliyojifunza kwenye hii mada ni ya kweli?

mada imenifunza nisite watoto wangu rose, waridi, asumini, alizeti, maua, lily, jasmine, langilangi, yungiyungi.......
 
Back
Top Bottom