Uzuri wako ndo huu, unafahamu taaluma yako....leo utatupeleka pande fulani jioni....charges zako ni zipi tena?
hahah hahah
mzee wa kudiverge......!!!!!!
karibu sana
teamo kakusema weeeeeeee mpk basi
yupo angani anaelekea U.S......!haha hahah hahahahh!!!
anonymous njoo jibu plssssssss
uthibitshe aya madai ya teamo ni profesional tax driver...
mbona jana uliniambia tena kwa hisia kali kwamba roya ni diabetic?...nakataa ..hapana..NAGOMA ROY HANA ILO TATIZO
NI MZIMA TU
HANA KISUKARI WALA KICHUMVI
nilikuwa nataka tushirikiane tumsute yeye...lol,
kitchen party hiyo....!wanaume huwa haturuhusiwi
roya atakuja!anapenda sana kucikiliza kitchen party
nakataa ..hapana..NAGOMA ROY HANA ILO TATIZO
NI MZIMA TU
HANA KISUKARI WALA KICHUMVI
nakataa ..hapana..NAGOMA ROY HANA ILO TATIZO
NI MZIMA TU
HANA KISUKARI WALA KICHUMVI
hiyo ni sherehe ya wanawake,na wanaume wenye visukari!ndo mana sikumkaribisha roy
nkakuita wewe uje cz we ndo muhusika
roy hausiki na HATAKUJA
NAKUTAKA WEWE UJE..mjukuu atabeba vitabu vyake vya reference
mbona jana uliniambia tena kwa hisia kali kwamba roya ni diabetic?...
na vyeti ulinionyesha
sema ukweli
sasa mkuu nitaitoaje wakati ni ukweli!Baba Gift....naomba uitoe hii hoja ya kisukari tafadhali!
hiyo ni sherehe ya wanawake,na wanaume wenye visukari!
mi lijari bwana!
kidume kokonati miye
sasa mkuu nitaitoaje wakati ni ukweli!
labda useme nishushe evidence
sasa mkuu nitaitoaje wakati ni ukweli!
labda useme nishushe evidence
kwaiyo babu nae ana kisukar?na mjukuu wake?na finest?ahh we jaman mistak ivi
hawawezi kuja hao!kwaiyo babu nae ana kisukar?na mjukuu wake?na finest?ahh we jaman mistak ivi
Hiyo evidence Rose ataithibitisha?
Nashusha evidence sasa:babu trust me
roy HAUMWI JAman
SA SJUI aka kadg dig kanataka nin ..kachokoz tu..sjui kanataka kumrith st?
mi ata simwelew..
hahaha!eeh kweli iv mipango ya dom inaendeleaje?
km mtu mmoja ugonjwa ukimzidia mio ntakuja.....!!!!!...km nakuona vle umecheka apo!!!!!!!