Wenye majina ya rose!

Wenye majina ya rose!

Katika Rose wawili nao wafahamu mmoja ni mpole lakini Mkorofi Mwingine Haeleweki eleweki
 
Jamani mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Dunia inakwenda wapi????????? Uhiiiii. Ebu ngoja kidogo!!! Hivi jina la mtu linauhusiano gani na tabia yake? Kwanza hao wanaotunga majina hayo kwa watoto wao huwa hawafahamiani na hawatumiani salaam. Mara nyingi wapewao majina huwa bado wachanga na tabia zao huwa hazijajiweka bayana.:A S-baby: Sasa hii inakuwaje? Kazi kweli kweli.:sad:

Hivi Rose ulitaka jinsi ya kubadili jina. Nakuomba usibadili jina lako wewe endelea na jina lako zuri la ua la waridi. Manshallah jina zuri sana. Ili ukilazimisha hatua unayoweza kuchukua ni kwenda kwa wakili au Mwanasheria unaapa kulikana jina lako hilo na unamwambia kuwa unataka ufahamike kwa jina jipya nalo unalitaja. Hati hiyo inatangazwa magazetini basi unakuwa na jina jipya.:israel: As simple as that. Lakini inabidi ulipie ada kiasi sikumbuki.
thak u
na kuna kunakutoa sababu on y unabadili jina?
ntajibu watu wa jf wamesema jina langu isnt worth enaf
na gharama za kulibadili watachanga watu wa jf
mwenyewe jna langu zuri wanataka tu wanichokonoe...stak mie
 
baba G ni mgomvi halafu haan nguvu....haahaaa ngoja anitokeze huko mweh.
Mie nguvu za kupigana sina
nina nguvu za kiume!....

tofauti na huyo roya....!roya ana KISUKARI
 
weeweeeeeeeeeee, ngoma iko kwa akina anitha, maria na esther bana, balaah, naskia kwa krosi hao ni balaa
Mkuu, acha hizo bana....Mbona unaniunguzia mtu wangu?...hili jina nyeti broda, na linahusu!.. utakuwa unaharibu sasa, na utapewa ban kuja A-Town!
 
Usijali, ntakuja na mwalimu. Au hatakiwi kuhusishwa kwenye misuto?
hahhah haaaaaaa babuuuuuuuuu!!!!
babu unampenda mjukuuu yan popote ulipo mjukuuu kwa pemben ahh nimeipenda i....
.
 
hahhah haaaaaaa babuuuuuuuuu!!!!
babu unampenda mjukuuu yan popote ulipo mjukuuu kwa pemben ahh nimeipenda i....
njoo nae ili atushushie na theory za socilogy zake za name in accordance to behavior...
kuna iyo topic ya reflection za majina kwenye tabia,mila na destur zinachangiaje kwenye tabia za watu...
aje

Sasa hebu nithibitishie, ndugu yangu Roya ana Kisukari? Ameanza dozi?
 
nilikuwa nataka tushirikiane tumsute yeye...lol,

itabid leo teamo akae vzur
anieleze kwanini amesema ivo?
yan kadig dig kale kamwambia vile simba ahh i hatar

nipo mkuu
leo jion hongera baa kuna kikao cha kumsuta TEAMO ..iweje amwambie vile st..

yan acha tu nyamayao
uyu baba g mgomvi...vidig dig always vina shda....!!!
atasutwa yeye leo na usukununu wake na atasutwa kwa matarumbeta uku tunampaka upupu akome....bgirta uje na pk up yako tutamweka uko km mbao vile...!!!!

.......!kikao hicho sitakuja.
itabidi roya aanzishe chama chake cha kusutana
 
Mie nguvu za kupigana sina
nina nguvu za kiume!....

tofauti na huyo roya....!roya ana KISUKARI
we dig dig teamo unazd kunivimbisha apa kwwa hasira?
ushapata lunch kwan?
km vp njoo hunters apa nianze kukusuta kdg dg b4 jion...
(nakunong'oneza...roy yupo wap?kajificha?nijibu kidogo dogo)
 
ha ha ha!
naona mzee umeanza LOBBING
 
we dig dig teamo unazd kunivimbisha apa kwwa hasira?
ushapata lunch kwan?
km vp njoo hunters apa nianze kukusuta kdg dg b4 jion...
(nakunong'oneza...roy yupo wap?kajificha?nijibu kidogo dogo)

Hivi Teamo na Roya, nanni anaweza kuendesha taxi vizuri?
 
Mie nguvu za kupigana sina
nina nguvu za kiume!....

tofauti na huyo roya....!roya ana KISUKARI

Tatizo lako unapotaka kuanzisha ugomvi unakimbilia karibia na sentro....
 
.......!kikao hicho sitakuja.
itabidi roya aanzishe chama chake cha kusutana

anayehost kikao si roy ni mimi roze na wadau wengne
roy hausiki ..we umemwona apa kwenye kukujibu...ni wasamaria wema ndo wanajibu including babu ambaye amaesema atakuja na mjukuu...eehh babu mpk kwenye misuto anambeba mjukuu mweeeeeeee uyu babu anampenda mjukuuu vbaya sana!!!!!
 
anayehost kikao si roy ni mimi roze na wadau wengne
roy hausiki
..we umemwona apa kwenye kukujibu...ni wasamaria wema ndo wanajibu including babu ambaye amaesema atakuja na mjukuu...eehh babu mpk kwenye misuto anambeba mjukuu mweeeeeeee uyu babu anampenda mjukuuu vbaya sana!!!!!
kitchen party hiyo....!wanaume huwa haturuhusiwi
roya atakuja!anapenda sana kucikiliza kitchen party
 
HA HA HA!
muzeeeeeeeeee!?

i am a profesheno taxi-draiva.....!

Uzuri wako ndo huu, unafahamu taaluma yako....leo utatupeleka pande fulani jioni....charges zako ni zipi tena?
 
Back
Top Bottom