Wenye makampuni na connection naombeni mnisaidie kazi.

Wenye makampuni na connection naombeni mnisaidie kazi.

bay_zooh

Member
Joined
Jan 27, 2025
Posts
43
Reaction score
65
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu.
Kwa Mara nyingine narudi kwenu wana jf, naombeni mnisaidie kazi yoyote ile ya halali. Nina shahada ya mambo ya uchumi na mahesabu pia. Lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote as long as iwe halali tu, sina hata mtaji wa kuuzia ubuyu hali yangu ni mbaya mno, na pengine mnao sema niuze simu nipate mtaji, Simu yangu pia ni mtihani.
Natanguliza shukran.
 
CCM ndio inataka vijana waendelee kuwa hivi,haitaki kuwapa ajira.
 
Back
Top Bottom