Hahaha Mhasibu anajuaje kiwango kinapungua yaan anawahesabu wanaotoa au anajua wanatoaga kiasi gani? Punguzeni upimbi hio kimetokea tu siku yake ya kuumbuka ilifika basi sio habari za Mhasibu kuhisi kiwango cha sadak kinapunguapale mhasibu wa kanisa alipoanza kuhisi kuwa kiwango cha sadaka kimekuwa kikipungua kwa namna isiyo ya kawaida
Si ongezeko la waumini haliendani na kipato bwashee 😆Hahaha Mhasibu anajuaje kiwango kinapungua yaan anawahesabu wanaotoa au anajua wanatoaga kiasi gani? Punguzeni upimbi hio kimetokea tu siku yake ya kuumbuka ilifika basi sio habari za Mhasibu kuhisi kiwango cha sadak kinapungua
Wangesema tu ajali kazini mwizi kafia kwenye hema la wezi wengineSi ongezeko la waumini haliendani na kipato bwashee 😆
Kevo achomoke kwenye huu msala kwa lile neno la samehe mara saba sabini ,mathayo 18: 22.Wote ni wezi wa pesa ya muumini.
Kevo alitaka kumzidi kete mhasibu..hao ni fahali wawili kwenye zizi moja ni lazima kiwake😅
🤣 kevooo sio muumini fala, kaona akale wanapopelekaga mbogaWangesema tu ajali kazini mwizi kafia kwenye hema la wezi wengine
Hio Wakatoliki washapigwa sana wakaweka mfumo visanduku km vibubu ikiingia imeingia sio kikapu maana kikapu watu walikua wanachenji anaingiza 1000 anaondoka na 9000 eti anajifanya ametoa 10,000🤣 kevooo sio muumini fala, kaona akale wanapopelekaga mboga
Weweeee mwamposa sadaka zinaondolewa na security company cars mkuu labda wakaibie bankKIJANA ANASWA AKIBA SADAKA KANISANI KWA KUTUMIA GUNDI KWENYE KIJITI JIJINI NAIROBI
Mtaa wa Githurai 45 ulijaa kicheko na mshangao baada ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la ‘Kevo’ kunaswa akitekeleza wizi wa aina yake ndani ya kanisa la mtaa huo. Kevo, ambaye mara nyingi huonekana akiwa wa kwanza kufika kanisani na kukaa viti vya mbele akiwa amevaa suti iliyopauka, alinaswa akitumia mbinu ya kisayansi ya “gundi na kijiti” ili kuvua noti kutoka kwenye sanduku la sadaka.
Tukio hilo lilitokea wakati wa ibada ya asubuhi, pale mhasibu wa kanisa alipoanza kuhisi kuwa kiwango cha sadaka kimekuwa kikipungua kwa namna isiyo ya kawaida, licha ya waumini kuongezeka. Leo, mhasibu huyo aliamua kuchungulia kupitia tundu la pazia la ofisi yake inayotazama sanduku la sadaka wakati wa maombi ya mwisho. Alimuona Kevo akijifanya kusujudu kwa unyenyekevu karibu na sanduku hilo, lakini mkono wake ulikuwa ukishusha kijiti kirefu chenye gundi kali (super glue) kwenye ncha yake kupitia tundu la sanduku.
Kwa ustadi wa hali ya juu, Kevo alikuwa akivua noti za shilingi mia tano na elfu moja, akizibandika kwenye kijiti hicho na kuzitia mfukoni kwa kasi ya ajabu. Mhasibu alipiga kelele ya “Mwizi wa Madhabahuni!” na kabla Kevo hajajua la kufanya, waumini waliokuwa wamefunga macho wakaanza kumrukia. Walimkuta akiwa na zaidi ya shilingi elfu saba mfukoni, zote zikiwa na mabaki ya gundi
Kevo achomoke kwenye huu msala kwa lile neno la samehe mara saba sabini ,mathayo 18: 22.
Pesa ya kanisa ukitaka kuila vizuri jiunge na vikundi vya vijana hasa ipo kkkt , tumia kanisa kama mgongo kwa miradi uchwara, jiunganushe na wadhamini wa kanisa hasa nchi kama Finland wana ufadhili sana hasa Lutheran ,piga Pesa tembea .Hio Wakatoliki washapigwa sana wakaweka mfumo visanduku km vibubu ikiingia imeingia sio kikapu maana kikapu watu walikua wanachenji anaingiza 1000 anaondoka na 9000 eti anajifanya ametoa 10,000
MwiziWeweeee mwamposa sadaka zinaondolewa na security company cars mkuu labda wakaibie bank
Hili wazo zuriPesa ya kanisa ukitaka kuila vizuri jiunge na vikundi vya vijana hasa ipo kkkt , tumia kanisa kama mgongo kwa miradi uchwara, jiunganushe na wadhamini wa kanisa hasa nchi kama Finland wana ufadhili sana hasa Lutheran ,piga Pesa tembea .
Humo makanisani kuna pesa zinamwagika 🤔
Alie msafi sana na awe wa kwanza kumrushia jiwe kevooHuo mkao waliomkalisha Kevo ni wa sheria mkononi. Sidhani kama kuna room ya neno hapo
Na ujerumani mkuu pale kumara umepaona sio sadaka zile kkkt oohHili wazo zuri
Hawawezi kutumia hicho kifungu kuna mwamba aliibaga box la biblia waliruka nae mpaka kwa pilatoKevo achomoke kwenye huu msala kwa lile neno la samehe mara saba sabini ,mathayo 18: 22.
Sio wazo zuri haya nimekupa moja wapo ya madini yangu adhimu bwasheeHili wazo zuri
Nipe madini mengine uliyoyaficha hahahaSio wazo zuri haya nimekupa moja wapo ya madini yangu adhimu bwashee
Kwa hiyo kwenye mtonyo lazima kevoo ale kichapo cha mbwa koko bwashee?Hawawezi kutumia hicho kifungu kuna mwamba aliibaga box la biblia waliruka nae mpaka kwa pilato
sembuse mtonyo!