Wenye Makanisa kama Mwamposa muwe macho na sadaka zenu

Nipe madini mengine uliyoyaficha hahaha
😃😃 kanisa lina mianya mingi sana ya kupiga pesa za kuchekecha akili bwashee , yani unatakiwa ukiingia kanisani ukiona uwingi wa vichwa ujue ni idadi ya mtonyo 😄

Sasa njia ya huo mtonyo uje kwako ni somo la pili , kaa kimasta mjini hapa bwashee 😅
 
Hahaha endelea mkuu umeishia njiani hujamaliza hapo huo mtonyo unakujaje kwangu, nakumbuka enzi hizo kitambo sana mtumishi madogo walikua wanazificha sadaka kwenye Dustbins 🗑 Coins zile sio Noti, wakimaliza kuhesabu kapu moja linabanwa kwenye Dustbins wakiondoka zinahamishiwa kwenye kiroba cha kilograms 10 hata wakitoka getini mlinzi asijue kwamba kwenye kiroba kuna nini kumbe kuna sadaka, si anawaona madogo tu hawawezi kuiba sadaka, hio ni kitambo sana
 
Sadaka ina liwa kwa akili bwashee, usione kina mwamposa wanapata watu ukajua ni kazi ndogo wanafanya , Ramani ya mchongo mzima inatakiwa iwekwe mezani ,pia uwe na timu yako aina ya watu kama kina Robert Heriel Mtibeli 😁
 
Duh..!
Mtumishi umeuaa! Una kitu..
Anzisha kanisa, hata la mabanzi.
Vyupa utakuwa unavichapa usiku wa manane.
Lile la mahema ndio pigo za kisasa bwashee, unatembea nalo tu kulingana na soko lako
 
Back
Top Bottom