Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani itakuwa inahusu IGA kati ya Tanzania na DPW ya Dubai kwani imetuasa kubadilisha sheria mbali mbali ili "mikataba" iandikwe na kusainiwa.Huyu atakuwa yule CEO mwanasheria TCAA Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) anakuja na dili gani ? Au Anga nalo linabinafishwa...
Ruksa wajifungie ndani ya mjengo wao wafanye litakalowafurahisha wao na CCM yao, sisi tunaendelea na vidole vyetu.Kamati tatu za Kudumu za Bunge zinawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Itifaki mbili na Katiba ya Tume ya Afrika ya Usafiri wa Anga ya mwaka 2009
![]()
Waamue tuu kama walivyozoea kufanya.... watanzania hatuna akili ya kuwashauri....Kamati tatu za Kudumu za Bunge zinawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Itifaki mbili na Katiba ya Tume ya Afrika ya Usafiri wa Anga ya mwaka 2009
![]()
Most Definately. Hii na sheria zingine zinazoenda kurekebishwa, zinadondoka kwenye wajibu wetu under IGA, kuwa Serikali na vyombo vingine vya sheria, vitafanya kila liwezwalo kuhakikisha Kampuni ya mradi inapata vibali vyote ili kuhitimisha azma yao.Tunataka bandari zetu
Ikipita hiyo, ni kibali kingine cha kampuni ya mradi wa Bandari.Huyu atakuwa yule CEO mwanasheria TCAA Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) anakuja na dili gani ? Au Anga nalo linabinafishwa.
Masuala haya yalikuwa yawe kwanza yanajadiliwa ktk media kibao za Tanzania kabla ya kukimbizwa bungeni, wananchi na pia wadau wafahamu bila kustukizwa .