Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania hawajaridhika na mkataba wa Bandari. Serikali isione aibu kuachana na Waarabu.Kamati tatu za Kudumu za Bunge zinawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Itifaki mbili na Katiba ya Tume ya Afrika ya Usafiri wa Anga ya mwaka 2009
![]()
Watushirikishe kwenye ishu za msingiNdiyo wanajirudi hivyo. Wapekekee maoni yako watakusikiliza.
Mzalendo wakili Pascal Mayalla this is now your turn.Kamati tatu za Kudumu za Bunge zinawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Itifaki mbili na Katiba ya Tume ya Afrika ya Usafiri wa Anga ya mwaka 2009
![]()
Kwenye Bandari maoni yetu yalisikilizwa? Wanatusaliti sna hao jamaaUsiwaachie. Ukiuzwa je?