Wenye masikio wasikie na Wenye macho waone: Bunge linawaalika wadau kutoa maoni

Wapuuzi hao, mkataba wa bandari walivyoupitisha fasta walichukua maoni ya nani?
Ndiyo wanajirudi hivyo. Wapekekee maoni yako watakusikiliza.
 
Kamati tatu za Kudumu za Bunge zinawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Itifaki mbili na Katiba ya Tume ya Afrika ya Usafiri wa Anga ya mwaka 2009


Watanzania hawajaridhika na mkataba wa Bandari. Serikali isione aibu kuachana na Waarabu.

No to DPWorld
No to Neo-Colonialism

CCM must go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…