Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu.
Ikiwa una matatizo yafuatayo naomba uni-pm
Na ushauri mwingine wa kitabibu hasa kuhusu miti shamba.
- Pumu
- Maumivu makali wakati wa hedhi
- Hufiki kileleni both me & ke
- Kifua kinakubana.
Kha!Mkuu, unayo dawa ya nguvu za kiume?
Maana naishi Daslam
Mkuu, sisi wanaume wa Daslam tumeathiriwa sana kwa kula chips na miguu/utumbo wa kuku.... tehteehhhKha!
Sawa mkuuHahaahaa!
Naona watu wanahangaika kwa gharama na maumivu makali wakati baadhi dawa tunazijua
Ushauri wanguHabari wakuu.
Ikiwa una matatizo yafuatayo naomba uni-pm
Na ushauri mwingine wa kitabibu hasa kuhusu miti shamba.
- Pumu
- Maumivu makali wakati wa hedhi
- Hufiki kileleni both me & ke
- Kifua kinakubana.
Ushauri wangu
Chambua kwa mapana kila aina ya ugonjwa na tiba zake kisha unaweza sasa kuwakaribisha watu pm kwa watakaopenda
Asante sanaMkuu Mshana Jr,
Ipo miti ambayo kwa majina si rahisi kuitaja ila namna ya kuiandaa mpaka iwe dawa hilo naweza kuelezea.
Kwa sasa natumia simu isiyo na kamera ila nikipata kamera au simu yenye kamera nitaweka kila kitu bayana. Ili hata kama jina linasumbua la mti lakini mtu autambue mti husika
Mkuu nakuja pmHabari wakuu.
Ikiwa una matatizo yafuatayo naomba uni-pm
Na ushauri mwingine wa kitabibu hasa kuhusu miti shamba.
- Pumu
- Maumivu makali wakati wa hedhi
- Hufiki kileleni both me & ke
- Kifua kinakubana.
hahaha kwahiyo kuishi Daslam automatikali lazima uwe na upungufu wa nguvu za kiume!!Mkuu, unayo dawa ya nguvu za kiume?
Maana naishi Daslam
Hata kama naishi Dar...[emoji53] [emoji53]Dawa ya kila kitu ni Chakula (nafaka, matunda, mboga mboga na mizizi)
Pamoja na Maji kwa wingi.
Ukila hayo kwa utaratibu hospitali utapasikia tuu
[emoji12] [emoji12]hahaha kwahiyo kuishi Daslam automatikali lazima uwe na upungufu wa nguvu za kiume!!
huu ni uchochezi [emoji23][emoji23][emoji23]