Wenye matatizo yafuatayo Wani-Pm

Wenye matatizo yafuatayo Wani-Pm

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,323
Reaction score
10,813
Habari wakuu.

Ikiwa una matatizo yafuatayo naomba uni-pm
  1. Pumu
  2. Maumivu makali wakati wa hedhi
  3. Hufiki kileleni both me & ke
  4. Kifua kinakubana.
Na ushauri mwingine wa kitabibu hasa kuhusu miti shamba.
 
Mkuu, unayo dawa ya nguvu za kiume?
Maana naishi Daslam

Dawa ya kila kitu ni Chakula (nafaka, matunda, mboga mboga na mizizi)
Pamoja na Maji kwa wingi.
Ukila hayo kwa utaratibu hospitali utapasikia tuu
 
Habari wakuu.

Ikiwa una matatizo yafuatayo naomba uni-pm
  1. Pumu
  2. Maumivu makali wakati wa hedhi
  3. Hufiki kileleni both me & ke
  4. Kifua kinakubana.
Na ushauri mwingine wa kitabibu hasa kuhusu miti shamba.
Ushauri wangu
Chambua kwa mapana kila aina ya ugonjwa na tiba zake kisha unaweza sasa kuwakaribisha watu pm kwa watakaopenda
 
Ushauri wangu
Chambua kwa mapana kila aina ya ugonjwa na tiba zake kisha unaweza sasa kuwakaribisha watu pm kwa watakaopenda

Mkuu Mshana Jr,
Ipo miti ambayo kwa majina si rahisi kuitaja ila namna ya kuiandaa mpaka iwe dawa hilo naweza kuelezea.

Kwa sasa natumia simu isiyo na kamera ila nikipata kamera au simu yenye kamera nitaweka kila kitu bayana. Ili hata kama jina linasumbua la mti lakini mtu autambue mti husika
 
Asante sana
 
hahaha kwahiyo kuishi Daslam automatikali lazima uwe na upungufu wa nguvu za kiume!!

huu ni uchochezi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom