😔😔Nikiwa na Miaka 18, nilipata shavu Kwa kampuni moja, nilipata pes nyingi, ktk account nilikuw na kama M 3 hapo nina miez m 7 ktk kaz. Na ulikuwa ni mwaka 1 tangu nimehitimu Kidato cha 4
Sas sijui nizifanyie kitu gan, Nikamshirikish mzee, cha kwanz alinisihi ninunue kiwanja, Daaah..!! Mm akil ndogo niliamin sh M 3 haiwez maliz ujenz nikaon ananipotez 2,
Mungu anisamehe🙏, nilimjibu kwan ntakuw nalala kweny kiwanja !!?😔.
Mzee hakutak kuning'ang'aniza.
kulikuw kunanyumb aliijeng kwaajil y sis vijana, sas hakuimalizia(Finishing) m nikaon njia rahis nikamwomb chumba kimoja anipe akanipa nikafany finishing, Kwel palikuw pazuri saana
Mzaz n mzaz, kile chumba kilinikosanisha na ndugu zangu, maan kila kijan alitaka alale humo Kwa utaratibu wake bila masharti, ukweli tulipishana
pes zilizobaki ziliisha, Sikuw na plan maan umri mdogo sikujua kumanage pesa. Na akil/Elimu y mtaan sikuwa nayo
Sas nimekimbia home kuepuka kukosana nao, sijafikish Miaka 30, ila najitahid niweze kurekebisha hili kosa 🙏🙏