Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
That is why I like hell fire! It is always direct to target, with massive destruction!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Itabidi umpuuzilie mbali. Hana la mno ila ushabiki usio na mwelekeo.Gazeti ipi? Weka link tusome
We jamaa ni chiziUmeziona wapi???
Na walivo na hasira kubabake lazima waje wazae na nyie.
Hawa hii ndio dawa yao,wao wanapigana guerilla war,vita ya kuvizia,street to street,hutakiwi kupereka jeshi,Alshababy sio conventional army,jeshi rasmi,ni kikosi tu kisicho hata na uniform maalum,hawafati rules of engagement za conventional warfare.Kwa wale wa free basics picture hizo hapo!!!![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kwa wale wa free basics picture hizo hapo!!!![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Duh, unajua mtura, ipo kenya?Mimi kwa hasira nilizo nazo kwa hawa jamaa, nimefuata link ila sijaridhika, nilitegemea kuona utumbo nje nje ukiiva mitura.
Magaidi huwa wanaweza kusahau mambo yote Ila sio kulipiza kisasi
Kisasi chake huwa Ni breaking news ya Dunia
'Mtu anaeua Na kubaka mama, Dada Na Ahli zako hawezi kuacha kufanya hivyo kwa kuandamana, kuchoma bendera Za Nchi yao au kwa kufanya Midahalo ya kulaani
Hakikisha na wao wanafuta Machozi Kama mnavyofuta Nyie, watoe miili ya ndugu zao Kwenye vifusi Kama mnavyotoa nyie...'- Abubakar Shakau
Ta
Tatizo ni wajinga
Upigwe na wanajeshi
Ukalipe sokoni ambako hawajuwi lolote. Watoto, wanawake nk
Nawachukia sababu husabisha maafa kwa RAIA wema wasio na hatia na wasiojuwa lolote
Hao Wanajeshi wanaua Mama wa Magaidi Na Magaidi wanakuja kuua Mama wa Wanajeshi
Intelijensia kali inahitajika kupambana na magaidi kwa sababu upigaji wao ni wa kuvizia, kwa kifupi ni waoga.Ta
Tatizo ni wajinga
Upigwe na wanajeshi
Ukalipe sokoni ambako hawajuwi lolote. Watoto, wanawake nk
Nawachukia sababu husabisha maafa kwa RAIA wema wasio na hatia na wasiojuwa lolote
Wanatakiwa
Kulipuwa majeshi, ofisi, miundombinu za majeshi nk
Kuenda shule ya msingi kujilipuwa nakuangamiza vitoto sio sawa hawajuwi lolote
Au kuenda stendi ya basi kujilipuwa nakuwa wasafiri sio sawa hawajuwi lolote
Ni ujinga kulipa kisasi kwa wasio na hatia
Next time ukienda kuua Mama Mama wa Mwenzio ujue Mama yako Pia yupo hatari ni kufa
Madege Yale yanayobeba Makombora Na kwenda Middle East yanaenda kuangamiza Mitende Na ngamia?Wewe unaongea nini?
Magaid huuwa RAIA wasio na hatia. Nani huenda kuuwa mama wa magaidi?
Mbona unaroho ya mauwaji ndugu.
Nyama choma wapi, yaani mnategemea marekani ndio aje awakingie mgongo dhidi ya wavaa ndala. Hivi majeshi yenu yote yanafanya kazi gani kubabake zenu!!!
Natamani siku alshabaab waje wavamie nyumba kwa nyumba Nairobi nzima wawapige ukuni katikati ya makalio.
Madege Yale yanayobeba Makombora Na kwenda Middle East yanaenda kuangamiza Mitende Na ngamia?
Wazungu wameshajua athari zake ndio sababu sasa hawataki Nchi zao kwenda Tena kuua wengine ili nao waishi salama
Kwanini Japan haishambuliwi Na Magaidi ?