ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
True walahiWajiandae tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True walahiWajiandae tu
Ahhh wapi, msomali au mtu mwingine?Alshabab wakatafute kazi nyingine ya kufanya
Ahhh wapi, msomali au mtu mwingine?
Nyama choma wapi, yaani mnategemea marekani ndio aje awakingie mgongo dhidi ya wavaa ndala. Hivi majeshi yenu yote yanafanya kazi gani kubabake zenu!!!
Natamani siku alshabaab waje wavamie nyumba kwa nyumba Nairobi nzima wawapige ukuni katikati ya makalio.
Mkuu mbona umechachamaa sana. Nadhan si vizuri kuombea jiran mabaya. Yaliyo tokea yametokea. There is no fun kushangilia majangaUmeziona wapi???
Na walivo na hasira kubabake lazima waje wazae na nyie.
Unauhakika gani kuwa hao wanajeshi wanaua mama wa magaid?Hao Wanajeshi wanaua Mama wa Magaidi Na Magaidi wanakuja kuua Mama wa Wanajeshi
Ili next time wao wakiwa bize kurehemu Mama zao Na Wewe Uwe bize kuweka Shada la Maua Na kuwasha mishumaa kumkumbuka Mama yako
Wewe Mfipa nyamaza.Naskia yule Gaidi mmoja ni Mkikuyu, What happened?
tunavoambiwa watanzania wengi ni vichaa tuwe tunakubali jamani.......Umeziona wapi???
Na walivo na hasira kubabake lazima waje wazae na nyie.
Kenya wanapenda uzungu mwingi ndicho kinawa cost. Japo wanapoelekea naona wanarudi kwenye Uafrika.Haitoshi ile kwa PAKA hawa. Kenya mnapata hadi muda wa kuwapeleka kortini washenzi sana nyie ndio maana wanawachezea wanavyotaka. Hakuna jela inayoweza kumbadilisha mtu aliyetopea kwenye imani za kishenzi shenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba wazungu wameogopa. Wenzetu wameona ni waste of time na pesa kuhangaiks nao.. in short there is nothing left cha maana.Madege Yale yanayobeba Makombora Na kwenda Middle East yanaenda kuangamiza Mitende Na ngamia?
Wazungu wameshajua athari zake ndio sababu sasa hawataki Nchi zao kwenda Tena kuua wengine ili nao waishi salama
Kwanini Japan haishambuliwi Na Magaidi ?
Yeah sababu waasi au magaid wanajificha kwenye makazi ya watu.Kwa nini kwanza ukampige huyo jirani yako?
Kwanini unaanza kuchokoza Mtu ambae hana time Na Wewe ?
Wewe unadhan Yale Madege yanayoporomosha Makombora Middle East wote wanaouawa wana hatia?
Yaan kwa unafiki kabisa unajifanya hujui Kuwa Wanaouawa bila ya hatia Middle East Ni wengi Kuliko wenye hatia
Acha kuchanganya terrorists na freedom fighters.Wanatakiwa
Kulipuwa majeshi, ofisi, miundombinu za majeshi nk
Kuenda shule ya msingi kujilipuwa nakuangamiza vitoto sio sawa hawajuwi lolote
Au kuenda stendi ya basi kujilipuwa nakuwa wasafiri sio sawa hawajuwi lolote
Ni ujinga kulipa kisasi kwa wasio na hatia
Magari wamepewa gov of somalia. Unasema magaid. Come on man?Magari haya ya Deraya Muda si Mrefu yatainekana nairobi yakiwa na Magaidi wa Alshabaab huku yakiuwa Raia hovyo.
Kumbuka Qatar pia ilikuwa na Uhusiano Mkubwa na Magaidi Wa ISIS.
View attachment 1000438
Nairobi ni jirani tu na nyumbani kwako, wakimaliza kupitia nyumba kwa nyumba huko basi nyumba zinazofuatia ni za jirani.Nyama choma wapi, yaani mnategemea marekani ndio aje awakingie mgongo dhidi ya wavaa ndala. Hivi majeshi yenu yote yanafanya kazi gani kubabake zenu!!!
Natamani siku alshabaab waje wavamie nyumba kwa nyumba Nairobi nzima wawapige ukuni katikati ya makalio.
Hao hao Alshababu wako ndani ya serikali ya Somalia nimetahadharisha tena na tena ila mimi nimesema ila ngoja muda ndio utakao ongea Majeshi ya Serikali Mchana Usiku ni AlshababuMagari wamepewa gov of somalia. Unasema magaid. Come on man?
Hiyo ni goverment property.. not alshabab.
Sent using Jamii Forums mobile app