Wenye mna roho fuateni link muone vile Marekani waliwafanya nyama choma Al-Shabab jana huko Somalia.

Wenye mna roho fuateni link muone vile Marekani waliwafanya nyama choma Al-Shabab jana huko Somalia.

Status
Not open for further replies.
Naona tupo level mbili tofauti

Yaani wewe ukipigwa na jirani unaenda kuuuwa mwanae wa nursery school kama kiasi?

Utakuwa gaid sio bure

Kwa nini kwanza ukampige huyo jirani yako?
Kwanini unaanza kuchokoza Mtu ambae hana time Na Wewe ?

Wewe unadhan Yale Madege yanayoporomosha Makombora Middle East wote wanaouawa wana hatia?

Yaan kwa unafiki kabisa unajifanya hujui Kuwa Wanaouawa bila ya hatia Middle East Ni wengi Kuliko wenye hatia
 
Kwa nini kwanza ukampige huyo jirani yako?
Kwanini unaanza kuchokoza Mtu ambae hana time Na Wewe ?

Too low to argue naona roho ya kisasi na mauwaji ndani yako.

Endelea na ulichonacho rohoni mwako
 
Nyama choma tayari, kachumbari tayari pia Wacha nikapike sembe tena ile brown.
 
Mimi kwa hasira nilizo nazo kwa hawa jamaa, nimefuata link ila sijaridhika, nilitegemea kuona utumbo nje nje ukiiva mitura.

Naskia yule Gaidi mmoja ni Mkikuyu, What happened?
 
Naskia yule Gaidi mmoja ni Mkikuyu, What happened?

Gaidi hana kabila, akishalishwa hizo itikadi anabadilika na kuwa zombie, anakua tayari kumuua hata mamake.
Au umesahau gaidi mmoja wa Garissa tuliyemkamata ni Mpare wa Tanzania, yaani Mpare na ugaidi wapi na wapi.
 
Nyama choma wapi, yaani mnategemea marekani ndio aje awakingie mgongo dhidi ya wavaa ndala. Hivi majeshi yenu yote yanafanya kazi gani kubabake zenu!!!

Natamani siku alshabaab waje wavamie nyumba kwa nyumba Nairobi nzima wawapige ukuni katikati ya makalio.
Hahahaha
Uwiii
Mola wangu ehhh
Umenichekesha kweli walahi
 
Haitoshi ile kwa PAKA hawa. Kenya mnapata hadi muda wa kuwapeleka kortini washenzi sana nyie ndio maana wanawachezea wanavyotaka. Hakuna jela inayoweza kumbadilisha mtu aliyetopea kwenye imani za kishenzi shenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
KDF India zaidi ya alshabaab 3,000.... Shida ya Vita vya kigaidi no ukiua mmoja, ndugu zake na wajomba zake ambao walikua hawajakua magaidi wanachukua bunduki ndo maana Hadi Leo Marekani umeshakua kumaliza Vita kule m.east....

Suluhisho la kudumu ni kuhakikisha wale wanao wa supply na risasi au hela ndo wanapotelea mbali...ili magaidi wawe hawana uwezo wa kufanya shbulizi la Aina yoyote hata wawe na hasira mamma gani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom