Wenye mna roho fuateni link muone vile Marekani waliwafanya nyama choma Al-Shabab jana huko Somalia.

Status
Not open for further replies.

We jamaa upo? Naona umetoka kifungoni aise

Michango yako humu ndani huwa inanifurahisha sana
 
Hao Wanajeshi wanaua Mama wa Magaidi Na Magaidi wanakuja kuua Mama wa Wanajeshi

Ili next time wao wakiwa bize kurehemu Mama zao Na Wewe Uwe bize kuweka Shada la Maua Na kuwasha mishumaa kumkumbuka Mama yako
Unauhakika gani kuwa hao wanajeshi wanaua mama wa magaid?
Military was designed to act in direct fire fight situation.
Siwasifii.. ila kama wanataka ku peak a real fine. Tuwatengee nchi yao.. mbali na watu. Wapigane wee. Atakaye shinda ndio mwanaume.

Real man dont kill the weak.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makeshi ya Amisom yakiwa yameuwawa na magaidi hao


Majeshi ya Ethiopia yakiwa yameuwawa na Magaidi hao
 
Juzi Qatar imewapa Serikali ya Somalia Magari ya Deraya Wakati Qatar iinajua fika yataingia Mikononi mwa Magaidi hao
 
Haitoshi ile kwa PAKA hawa. Kenya mnapata hadi muda wa kuwapeleka kortini washenzi sana nyie ndio maana wanawachezea wanavyotaka. Hakuna jela inayoweza kumbadilisha mtu aliyetopea kwenye imani za kishenzi shenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya wanapenda uzungu mwingi ndicho kinawa cost. Japo wanapoelekea naona wanarudi kwenye Uafrika.
 
Madege Yale yanayobeba Makombora Na kwenda Middle East yanaenda kuangamiza Mitende Na ngamia?
Wazungu wameshajua athari zake ndio sababu sasa hawataki Nchi zao kwenda Tena kuua wengine ili nao waishi salama


Kwanini Japan haishambuliwi Na Magaidi ?
Sio kwamba wazungu wameogopa. Wenzetu wameona ni waste of time na pesa kuhangaiks nao.. in short there is nothing left cha maana.

Since 9/11 wamefanikiwa sana kupunguza hizo attacks kwenye ardhi yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah sababu waasi au magaid wanajificha kwenye makazi ya watu.
Hili ndio tatizo la ku crack gurrella war fare.. adui ana hit and run anajificha kwenye makazi ya watu.

Ni ngumu for military ku distinguish nani ni adui nani sie adui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuchanganya terrorists na freedom fighters.
 
Magari haya ya Deraya Muda si Mrefu yataonekana katika mitaa ya nairobi yakiwa na Magaidi wa Alshabaab huku yakiuwa Raia hovyo.
Kumbuka Qatar pia ilikuwa na Uhusiano Mkubwa na Magaidi Wa ISIS.
 
Nairobi ni jirani tu na nyumbani kwako, wakimaliza kupitia nyumba kwa nyumba huko basi nyumba zinazofuatia ni za jirani.

Vv



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magari wamepewa gov of somalia. Unasema magaid. Come on man?
Hiyo ni goverment property.. not alshabab.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao hao Alshababu wako ndani ya serikali ya Somalia nimetahadharisha tena na tena ila mimi nimesema ila ngoja muda ndio utakao ongea Majeshi ya Serikali Mchana Usiku ni Alshababu
Fanya uchunguzi fatilia habari
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…