Wenye mna roho fuateni link muone vile Marekani waliwafanya nyama choma Al-Shabab jana huko Somalia.

Status
Not open for further replies.
Kenya inabidi ijifunze toka kwa Ethiopia. Iliweza vipi kuingiza majeshi yake Somalia bila kushambuliwa nyumbani? Kwanini ilitoa majeshi yake? Je walibuni mpango upi kujilinda bila kuingia Somalia. Haya maswali ni muhimu kwasababu mnapiga na jamii inayoshabikia ugaidi na yenye wafuasi wengi na uwezo hadi kuwabadilisha wanajamii wachache wakenya kufanya vitendo vya ugaidi dhidi ya jamiii yao kwa kisingizo cha dini hiyo ni rai yangu tu.
 
Hao hao Alshababu wako ndani ya serikali ya Somalia nimetahadharisha tena na tena ila mimi nimesema ila ngoja muda ndio utakao ongea Majeshi ya Serikali Mchana Usiku ni Alshababu
Fanya uchunguzi fatilia habari
Alshabab walikuwapo hapo nyuma not now. The current goverment iko makini kidogo.
Incase hujajua ni kuwa somalia wana special forces siku izi. Sio popular sana.. but CIA ndio wametoa mafunzo. Somalia si kama 1992, the goverment was so corrupt by then, so worse that top officials were working for alshabab.

The in 2015 wakaanza kufanya real changes. Sikuiz serikal ina wasomi.
Alshabab hawana access to gov resources kama zamani tena. Mambo yamebadilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la somalia wanawaogopa Alshababu kwa sababu alshababu wanawajua wanapoishi askari hao huwafuata hadi majumbani mwao na kuwaambia eidha uwe nasi na tunakulipa mshahara au au tukuuwe na familia yako.
 
goverment iko makini kidogo.
😂😂😂😂😂😂😂kitu usichokijua ni usiku wa giza acha mihemuko huyo Raisi mwenyewe Somalia Mchana ni raisi usiku ni Alshabaabu mamlaka yake ni sehemu Chache yenye makabila yake basi.
 
Hata hiyo El Ade Massacre ya KDF imechangiwa na Intelijensia ya Serikali ya Somalia.
Kataa kubali waulize Survivers wa KDF.
 
Kwa wale ndugu zangu wa free basics picture hizo hapo!!!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Safi sana safi sana hii ndiyo dawa ya terrorist. Hapa sasa waende wakasema na mola wao

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hao magaidi walioshambulia Nairobi majuzi wote wametambuliwa kuwa ni kabila ya Raisi wa Somalia.
 
Hahaaa jamaa awana utani mguse raia wao hata mmoja wanatuma jeshi zima
 
Madege Yale yanayobeba Makombora Na kwenda Middle East yanaenda kuangamiza Mitende Na ngamia?
Wazungu wameshajua athari zake ndio sababu sasa hawataki Nchi zao kwenda Tena kuua wengine ili nao waishi salama


Kwanini Japan haishambuliwi Na Magaidi ?
Inaonekana wewe ni mtu wa imani kali...
 
Safi sana safi sana hii ndiyo dawa ya terrorist. Hapa sasa waende wakasema na mola wao

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hahah kama nawaona wanavyokukuluka kuwavunja bikra mabikra 72 wenye macho kama vikombe waliopewa zawadi huku wakiburudika na mvinyo safii unaotiririka kwenye vijito vya peponi!

Saivi huko hata mungu wao hasikilizani na viumbe wengine kutokana na mbingu nzima kujaa sauti za miguno ya mahaba.

Imani zengine bwana!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Ethiopia na Wasomali wanautamduni mmoja asilimia 56 ya Waethiopia ni Waisilamu lakini Waithiopia walichokifanya ni kuuelewa Mgogoro wa Somalia,Halafu Mkoa wa wa Wasomali Ulioko Ethiopia naumepewa Autonomy yaani wasomali wa etiopia wanajitawala wenyewe Akitokea gaidi wanamdhibiti wenyewe.
 
duh sio mchezo kuna vipicha vinaonekana ktk social networks za wale wapuuzi ndani ya dusit2 walivyopigika sio mchezo walikula shaba za kichwa
 
Sisi huku huwa tunawamaliza kabisa hatuwapeleki mahakamani. Huyu mshenzi hawezi kuwa TZ atakuwa nje ya TZ. Sisi hatuchezi na nyani kabisa!
 
Serikali ya Somalia haitaki Alshababu waishe kwani itakosa Misaada.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…