Ni Upumbavu lazima Uboreshe intelijensia kwa kuwabadili fikra halafu wanakupa ushirikiano ambao utakusaidia kujua nani na nani ndio SponsorsSisi huku huwa tunawamaliza kabisa hatuwapeleki mahakamani. Huyu mshenzi hawezi kuwa TZ atakuwa nje ya TZ. Sisi hatuchezi na nyani kabisa!
Haha... Bado mnaangalia sinema zake?Msalimie dj afro kimoda Janerose mzalendo
Nenda kawaulize Kibiti watakuambia gaidi mkubwa wewe!!Ni Upumbavu lazima Uboreshe intelijensia kwa kuwabadili fikra halafu wanakupa ushirikiano ambao utakusaidia kujua nani na nani ndio Sponsors
Kumbuka Extremism hautamalizwa kwa force pekee.
Comeon dude. Rais ambae alikuwa Sharif Sheikh Ahmed , kachaguliwa 2009, huyu serikal yake ilikuwa ya hovyo sana.chini yake ilikuwa ni rahisi sana kuhonga officials wake. Na hapa ndipo alshabab ndio walipata mwanya wa kuchafua somalia until juzi alipokuja mohamed abdullahi ahmed.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kitu usichokijua ni usiku wa giza acha mihemuko huyo Raisi mwenyewe Somalia Mchana ni raisi usiku ni Alshabaabu mamlaka yake ni sehemu Chache yenye makabila yake basi.
Hao magaidi walioshambulia Nairobi majuzi wote wametambuliwa kuwa ni kabila ya Raisi wa Somalia.
Wale maskini waliouwawa kwa kunyimwa haki ya kuuza Mkaa wao.Nenda kawaulize Kibiti watakuambia gaidi mkubwa wewe!!
Kweli aisee! Kwa Tz watu kama hao wangekua wanaokotwa kwenue sandarusi fukweni mwa bahari...Haitoshi ile kwa PAKA hawa. Kenya mnapata hadi muda wa kuwapeleka kortini washenzi sana nyie ndio maana wanawachezea wanavyotaka. Hakuna jela inayoweza kumbadilisha mtu aliyetopea kwenye imani za kishenzi shenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Hatari, wameua 21 wameuwa 70.Kwa wale ndugu zangu wa free basics picture hizo hapo!!!
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Yeah wameuwawa wangapi? Kulinganisha alshabaab waliokufa?Navy seals wameshauwawa na alshababu French Special forces wameshauwawa na Alshababu ila SAS ndio kiboko ya Alshababu hawa jamaa ni kiboko sio mchezo!
Wasomali wa Kenya Kumbuka makabila ya kissomali yako loyal popote pale yalipoNope. Kuna wawil ni raia wa kenya. Kama sio mmoja. Tena mwingine amezaliwa na kukulia kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheikh Shariff ndie alio waalika Waturuki kulifumdisha jeshi la Somalia sio huyu wa sasa ambae anacontrol mogadishu na viunga vyake hawezi kwenda kisimayo bila kupata kibali cha Uhuru Kenyatta.Comeon dude. Rais ambae alikuwa Sharif Sheikh Ahmed , kachaguliwa 2009, huyu serikal yake ilikuwa ya hovyo sana.chini yake ilikuwa ni rahisi sana kuhonga officials wake. Na hapa ndipo alshabab ndio walipata mwanya wa kuchafua somalia until juzi alipokuja mohamed abdullahi ahmed.
Alikuja na visionya tofauti sana.
Maswala ya kusema usiku wanageuma alshabab ni story za kusadikika .
Sent using Jamii Forums mobile app
noma sana mzee!Nyama choma wapi, yaani mnategemea marekani ndio aje awakingie mgongo dhidi ya wavaa ndala. Hivi majeshi yenu yote yanafanya kazi gani kubabake zenu!!!
Natamani siku alshabaab waje wavamie nyumba kwa nyumba Nairobi nzima wawapige ukuni katikati ya makalio.
Mimi nawakubali sana British SAS huwa hawarembi na Alshababu akisikia SAS ameingia huwanayayuka.Yeah wameuwawa wangapi? Kulinganisha alshabaab waliokufa?
Unakijua kitengo maalumu ndani ya CIA .kinaitwa SAD. Hawa jamaa wana kikos chao maalum cha counter terrosrism ambacho ni more superior kuliko hata navy seal . Ni kikos pekee america ambacho kina siri kiasi kwamba hata bajeti yao rais aifaham.
Anyway waliouwawa kwenye mission ni askari kidogo sana. Most of the time ni mmoja.. to wanne.. alshaabab wanakufa wangapi?
Ukisema ni kiboko. Wakavamie kambi ambayo america ameweka hapo somalia. Tangu america aje hapo hawajahi kuvamia hiyo kambi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameshavamia na kuuwa askari wa kimarekaniYeah wameuwawa wangapi? Kulinganisha alshabaab waliokufa?
Unakijua kitengo maalumu ndani ya CIA .kinaitwa SAD. Hawa jamaa wana kikos chao maalum cha counter terrosrism ambacho ni more superior kuliko hata navy seal . Ni kikos pekee america ambacho kina siri kiasi kwamba hata bajeti yao rais aifaham.
Anyway waliouwawa kwenye mission ni askari kidogo sana. Most of the time ni mmoja.. to wanne.. alshaabab wanakufa wangapi?
Ukisema ni kiboko. Wakavamie kambi ambayo america ameweka hapo somalia. Tangu america aje hapo hawajahi kuvamia hiyo kambi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule Somalia wote wanatoka kwenye kabila moja, ni wasomali, isipokuwa kabila chache ndogo za kibantu. Ungekuwa unajua unaongea kuhusu nini ungesema ukoo. Tena kati ya magaidi wale waliouliwa majuzi kuna wengine ambao hawakuwa wasomali.Hao magaidi walioshambulia Nairobi majuzi wote wametambuliwa kuwa ni kabila ya Raisi wa Somalia.
Waarabu woote ni kitu kimoja lakini wanamakabila mbalimbali walioshtakiwa wengine ni wakenya lakini kwenye zile pixha za mizoga wote walikuwa ni wasomali.Kule Somalia wote wanatoka kwenye kabila moja, ni wasomali, isipokuwa kabila chache ndogo za kibantu. Ungekuwa unajua unaongea kuhusu nini ungesema ukoo. Tena kati ya magaidi wale waliouliwa majuzi kuna wengine ambao hawakuwa wasomali.