imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ni Upumbavu lazima Uboreshe intelijensia kwa kuwabadili fikra halafu wanakupa ushirikiano ambao utakusaidia kujua nani na nani ndio SponsorsSisi huku huwa tunawamaliza kabisa hatuwapeleki mahakamani. Huyu mshenzi hawezi kuwa TZ atakuwa nje ya TZ. Sisi hatuchezi na nyani kabisa!
Kumbuka Extremism hautamalizwa kwa force pekee.