Wenye mna roho fuateni link muone vile Marekani waliwafanya nyama choma Al-Shabab jana huko Somalia.

Wenye mna roho fuateni link muone vile Marekani waliwafanya nyama choma Al-Shabab jana huko Somalia.

Status
Not open for further replies.
Sisi huku huwa tunawamaliza kabisa hatuwapeleki mahakamani. Huyu mshenzi hawezi kuwa TZ atakuwa nje ya TZ. Sisi hatuchezi na nyani kabisa!
Ni Upumbavu lazima Uboreshe intelijensia kwa kuwabadili fikra halafu wanakupa ushirikiano ambao utakusaidia kujua nani na nani ndio Sponsors
Kumbuka Extremism hautamalizwa kwa force pekee.
 
Ni Upumbavu lazima Uboreshe intelijensia kwa kuwabadili fikra halafu wanakupa ushirikiano ambao utakusaidia kujua nani na nani ndio Sponsors
Kumbuka Extremism hautamalizwa kwa force pekee.
Nenda kawaulize Kibiti watakuambia gaidi mkubwa wewe!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kitu usichokijua ni usiku wa giza acha mihemuko huyo Raisi mwenyewe Somalia Mchana ni raisi usiku ni Alshabaabu mamlaka yake ni sehemu Chache yenye makabila yake basi.
Comeon dude. Rais ambae alikuwa Sharif Sheikh Ahmed , kachaguliwa 2009, huyu serikal yake ilikuwa ya hovyo sana.chini yake ilikuwa ni rahisi sana kuhonga officials wake. Na hapa ndipo alshabab ndio walipata mwanya wa kuchafua somalia until juzi alipokuja mohamed abdullahi ahmed.
Alikuja na visionya tofauti sana.
Maswala ya kusema usiku wanageuma alshabab ni story za kusadikika .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
soldier.jpg
soldier.jpg
soldier.jpg
downloadfile-18.jpg
updfburial.jpg
3903-kdfhomecoming-02.jpg

Baadhi tu ya majeneza ya Askari waliouwawa na Magaidi wakishirikiana na Viongozi wa Somalia.
 
Attachments

  • howwe_8bf9f6e607c68c514ded4e464f1f45d5_1522754399.jpg
    howwe_8bf9f6e607c68c514ded4e464f1f45d5_1522754399.jpg
    31.6 KB · Views: 22
Haitoshi ile kwa PAKA hawa. Kenya mnapata hadi muda wa kuwapeleka kortini washenzi sana nyie ndio maana wanawachezea wanavyotaka. Hakuna jela inayoweza kumbadilisha mtu aliyetopea kwenye imani za kishenzi shenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee! Kwa Tz watu kama hao wangekua wanaokotwa kwenue sandarusi fukweni mwa bahari...
USHENZI KWA USHENZI TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Navy seals wameshauwawa na alshababu French Special forces wameshauwawa na Alshababu ila SAS ndio kiboko ya Alshababu hawa jamaa ni kiboko sio mchezo!
Yeah wameuwawa wangapi? Kulinganisha alshabaab waliokufa?
Unakijua kitengo maalumu ndani ya CIA .kinaitwa SAD. Hawa jamaa wana kikos chao maalum cha counter terrosrism ambacho ni more superior kuliko hata navy seal . Ni kikos pekee america ambacho kina siri kiasi kwamba hata bajeti yao rais aifaham.
Anyway waliouwawa kwenye mission ni askari kidogo sana. Most of the time ni mmoja.. to wanne.. alshaabab wanakufa wangapi?

Ukisema ni kiboko. Wakavamie kambi ambayo america ameweka hapo somalia. Tangu america aje hapo hawajahi kuvamia hiyo kambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nope. Kuna wawil ni raia wa kenya. Kama sio mmoja. Tena mwingine amezaliwa na kukulia kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasomali wa Kenya Kumbuka makabila ya kissomali yako loyal popote pale yalipo
Comeon dude. Rais ambae alikuwa Sharif Sheikh Ahmed , kachaguliwa 2009, huyu serikal yake ilikuwa ya hovyo sana.chini yake ilikuwa ni rahisi sana kuhonga officials wake. Na hapa ndipo alshabab ndio walipata mwanya wa kuchafua somalia until juzi alipokuja mohamed abdullahi ahmed.
Alikuja na visionya tofauti sana.
Maswala ya kusema usiku wanageuma alshabab ni story za kusadikika .

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheikh Shariff ndie alio waalika Waturuki kulifumdisha jeshi la Somalia sio huyu wa sasa ambae anacontrol mogadishu na viunga vyake hawezi kwenda kisimayo bila kupata kibali cha Uhuru Kenyatta.
 
Ziko picha za Aakari wa Kenya waliofumuliwa minofu ila si Busara kuziweka hapa.
Ila kila siku Mogadishu polisi na majeshi wanauwawa na Magaidi.
 
Nyama choma wapi, yaani mnategemea marekani ndio aje awakingie mgongo dhidi ya wavaa ndala. Hivi majeshi yenu yote yanafanya kazi gani kubabake zenu!!!

Natamani siku alshabaab waje wavamie nyumba kwa nyumba Nairobi nzima wawapige ukuni katikati ya makalio.
noma sana mzee!
 
Yeah wameuwawa wangapi? Kulinganisha alshabaab waliokufa?
Unakijua kitengo maalumu ndani ya CIA .kinaitwa SAD. Hawa jamaa wana kikos chao maalum cha counter terrosrism ambacho ni more superior kuliko hata navy seal . Ni kikos pekee america ambacho kina siri kiasi kwamba hata bajeti yao rais aifaham.
Anyway waliouwawa kwenye mission ni askari kidogo sana. Most of the time ni mmoja.. to wanne.. alshaabab wanakufa wangapi?

Ukisema ni kiboko. Wakavamie kambi ambayo america ameweka hapo somalia. Tangu america aje hapo hawajahi kuvamia hiyo kambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nawakubali sana British SAS huwa hawarembi na Alshababu akisikia SAS ameingia huwanayayuka.
 
Waisraeli na wamarekani wanawatrain Wakenya na Waturki wanawatrain wasomali huku waarabu wanamwaga silaha na hili ni Bomu huko mbeleni Wasomali wataivamia kenya na kudai mkoa wao unaokaliwa na Kenya ukweli ndio huo.

Sasa hivi Uingereza inawatrain askari wa Somaliland hawa ndio wasomali wasiokuwa na Makuu hawana Siasa kali ni wasomi hawa ndio wasomali wa ambao hawajali wewe ni Myahudi Mkristu **** kipindi walivamiwa na Alshababu lakini walichapwa na kisha wakateketeza mtandao wote katika jamhuri huyo.
 
Yeah wameuwawa wangapi? Kulinganisha alshabaab waliokufa?
Unakijua kitengo maalumu ndani ya CIA .kinaitwa SAD. Hawa jamaa wana kikos chao maalum cha counter terrosrism ambacho ni more superior kuliko hata navy seal . Ni kikos pekee america ambacho kina siri kiasi kwamba hata bajeti yao rais aifaham.
Anyway waliouwawa kwenye mission ni askari kidogo sana. Most of the time ni mmoja.. to wanne.. alshaabab wanakufa wangapi?

Ukisema ni kiboko. Wakavamie kambi ambayo america ameweka hapo somalia. Tangu america aje hapo hawajahi kuvamia hiyo kambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wameshavamia na kuuwa askari wa kimarekani
 
Hao magaidi walioshambulia Nairobi majuzi wote wametambuliwa kuwa ni kabila ya Raisi wa Somalia.
Kule Somalia wote wanatoka kwenye kabila moja, ni wasomali, isipokuwa kabila chache ndogo za kibantu. Ungekuwa unajua unaongea kuhusu nini ungesema ukoo. Tena kati ya magaidi wale waliouliwa majuzi kuna wengine ambao hawakuwa wasomali.
 
Waarabu woote ni kitu kimoja lakini wanamakabila mbalimbali walioshtakiwa wengine ni wakenya lakini kwenye zile pixha za mizoga wote walikuwa ni wasomali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom