Wenye ndoto za kwenda Marekani au Ulaya, pesa zipo lakini kwenye suala la wanawake mtapata taabu sana. Nchi yetu ni pepo ya mapenzi, tatizo ni uchumi

Mleta mada umeeleza vizuri sana pia kule ulaya na Marekani hujua Wanaume Toka Afrika ni wachapa kazi na watafuta pesa hasa wanawake hujirahisisha na hujitosa kwenye mahusiano na kuoana akizaa watoto wawili au watatu anaangalia kipato chako ili akikubwaga apate pesa nyingi za child support na kupora Mali zako kama ulinunua nyumba au kujenga ulaya na marekani mgao unahusu kama ana watoto nyumba inaondoka unakuwa homeless au ukapange huko

Kwa wale wawinda makaratasi kuwa ohh unatafuta uraia kupitia kuoa ulaya au marekani beware

Anavizia tu Kona nzuri akupige urudi mikono mitupu kama ulivyotoka Tanzania

Makesi ya family na child Support ulaya na marekani Yako in favour ya Mwanamke na wanae
Ndoa zipo zinazodumu sio kwamba zote huishia kubaya ila chache za kumulika na tochi Kila mtu na bahati yake .Lakini umakini unatakiwa sana
 
Mkae hukohuko kwenu mpambane na tozo na mifumuko ya bei... Mishahara kiduchu, maisha yanazidi kuwabaneni kende... Elimu mbovu, huduma za kijamii hovyo! Ajira hakuna, waliosoma hawana maana, wenye maana ni machawa na mashoga ndo wanaokula nchi. Magonjwa kila kona! Ndoa ni fashion, wanawake wote ni wafanyabiashara. Kila mtu mjuaji na mjanja ndomana CCM wanazidi kuwatifueni mavi tu na kuwapa madaraka watoto zao na ndugu zao.

Utafanikiwa maisha kama una connection imara ambayo haitakugeuka, na uwe mganga mganga na shobo kibao! (chawa) ikiwezekana wanaume wenzio wakukule.

Nimeleta ushauri kwa ID nyingine πŸ˜πŸ‘
Ushauri wako ni upi?
 
Weka na vigezo vya Mmarekani akitaka kuja Tz ili apate visa yake!!??
 
Weka na vigezo vya Mmarekani akitaka kuja Tz ili apate visa yake!!??
Mmarekani tajiri anapokuja Tanzania ni passport yake na visa tu Tena aweza pata airport shida mwafrika kwenda marekani sababu anaonekana ni maskini anataka kwenda marekani hata awe mtoto wa Balkhresa Sisi tunaona Balhresa tajiri lakini wamarekani Kwa utajiri walionao wanaona lofa tu kupata visa ya marekani lazima vigezo kibao Hadi bank statement
 
Hivyo vigezo walivyoweka ni sahihi sana ndugu.
Sio jambo la hekima kwenda nchi za watu na huna uhakika wa kumudu gharama za maisha ndani ya hiyo nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…