DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hustler hatu -Entertain ngono Kama hela ipo tunakomaa sex is nothing over money
.
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabadilika ni sawa na kuoa kijijini kuleta mjiniC NAENDA NA MKE WANGU.NGOJA NIPATE MCHONGO.NAMWINI MAMALAI HAWEZI KUNIGEUKIA KISA WAZUNGU
There's no easy money buddy. You must hustle to get the moneyHela wanaipata ila na tabu wanaipata vile vile
Ushauri wako ni upi?
We chizi 😂😂😂😂😂😂😂😂🙌Hapo ni kupiga puli tu.
Au unanunua toy ya K zinauzwa sana Marekani. Unaadjust ukubwa, joto na utelezi. Au unanunua lisexdoll lenye tako kubwa, yanauzwa huko Marekani 🤣🤣
Weka na vigezo vya Mmarekani akitaka kuja Tz ili apate visa yake!!??Tafuta kwanza vitu hivi
- Vyeti vya kuonyesha unaweza kuongea kiingereza, (utaishi vipi sehemu bila kuijua lugha ?)
- Hakikisha una bank statement
- Hakikisha una ushahidi kwamba huku bongo una ties (cheti Cha ndoa, vyeti vya watoto, mikataba ya biashara, n.k)
- Hakikisha una passport
Baada ya hapo unaweza kutumia njia hizi
1. Elimu kama unajidhamini au una mdhamini
2. Green card lottery / bahati nasibu ya visa mtandaoni
3. Hii ni njia rahisi haihitaji vielezo vingi, Kwa ambao hawajaoa au kuolewa ingia dating sites tafuta mahusiano na mtu wa taifa husika unataka kwenda anzeni mahusiano, mwombe huyo mpenzi wako aje akutembelee, akifika hapa mnaridhiana mrudi wote nchini kwao mkaoane utapewa visa ya ndoa au aje mara mbili Tanzania akutembelee baada ya hapo unaweza omba visa ya uchuma kwenda marekani. hakikisha akija mnapiga picha nyingi za ushahidi pia hakikisha anatunza ticket.
Mmarekani tajiri anapokuja Tanzania ni passport yake na visa tu Tena aweza pata airport shida mwafrika kwenda marekani sababu anaonekana ni maskini anataka kwenda marekani hata awe mtoto wa Balkhresa Sisi tunaona Balhresa tajiri lakini wamarekani Kwa utajiri walionao wanaona lofa tu kupata visa ya marekani lazima vigezo kibao Hadi bank statementWeka na vigezo vya Mmarekani akitaka kuja Tz ili apate visa yake!!??
Hivyo vigezo walivyoweka ni sahihi sana ndugu.Mmarekani tajiri anapokuja Tanzania ni passport yake na visa tu Tena aweza pata airport shida mwafrika kwenda mmarekani sababu anaonekana ni maskini anataka kwenda marekani hata awe mtoto wa Balkhresa Sisi tunaona Balhresa tajiri lakini wamarekani Kwa utajiri walionao wanaona lofa tu kupata visa ya marekani lazima vigezo kibao Hadi bank statement
🤣Hivi si walikua wanasema Kuna miroboti ya kidinya huko? Naivalisha shanga naipa jina la kizaramo