Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 Niringe...we mwenzangu una gari
Swala sio kupata moto mkuu. Kama uko dar kwani hujazishuhudia hata mara moja unakuta tu imetoka tu hata mwenge kwenda posta hapo katikati magomeni ikashika moto.kwene kupata moto hapo!! huwezi kwenda nayo masafa marefu.
Lets say mbeya hadi Arusha haifiki?
Ok vizuri sanauna maana gani?? kila nilichonacho kimeanza na tamaa bila tamaa hata hii simu ninayopost nisingepambana kuipata.
simu yangu ya kwanza ilikua n 2006 nipo form one .Nilitaman watoto wa kitasha walivokua wanatujia na simu na rafiki zangu.
Nikaenda vibarua nikanunua vodafone ya batan kama unakumbuka[emoji3][emoji3]
Swala sio kupata moto mkuu. Kama uko dar kwani hujazishuhudia hata mara moja unakuta tu imetoka tu hata mwenge kwenda posta hapo katikati magomeni ikashika moto.
Masala marefu inaenda tu vizuri na unaweza kwenda na kurudi nayo vizuri na ikawa Salama. Mimi nimesafiri nayo Dar to mbeya ilivyofika. Na nikarudi nayo siku nyingine Dar na nikarudi nayo mbeya na mioto yangu sio ya kitoto.
Cha ajabu kuna siku nimetoka nayo kyela kurudi mbeya,ni kama km 100 ikashika moto hapo katikati. Kyela to mbeya inaweza ikawa chalinze to posta dar. Hapo katikati ikashika moto.
Nilianza kusikia kama harufu kitu kinaungua,kufika sehemu moja brake zikapotea. Kila nikipamp hamna brake. Kufika mbele kama km 3 hivi harufu ikazidi,mwanzo nilijua ni harufu ya loli lilikuwa mbele yangu. Nikafanya kulipita. Harufu bado kali kitu kinaungua. Nikapack pembeni ile kufungua bonet daah moshi ulioibuka hapo. Wakatokea washikaji hapo piga piga maji na mchanga kumbe wanapiga sehemu ya engine kwa juu. Moto ulikuwa kwa chini pale karibia na pipe za mafuta ya brake. Jamaa mmoja akachungulia ndio akauona moto mdogo tu kwa pale. Na ile harufu ilikuwa ni yale mapamba kama mblanket hivi yale,kumbe yanasaidia sana yale.
Mwisho ilipona ila wakati wanapiga maji kwa wingi wakaisukuma rubber iko pembeni ya control box ya gear box. Yenyewe kwenye hizi gari iko mbele ya engine pale pembeni ya battery. Kwa hiyo baada ya pale kuna fundi akaiweka sawa nikafika mbeya vizuri tu. Sasa kuanzia hapo gear zikaanza kugoma kuingia. Kwa hiyo niligharamia control box tu na wakaweka sawa pale moto unapoanzia
Chukua nissan x trail new model
Dreams/wishes are valid, as long as aamini Mungu atampatia haja ya moyo wake.Mungu akupe haja ya moyo wako
Amin
WaooooooDreams/wishes are valid, as long as aamini Mungu atampatia haja ya moyo wake.
I had similar dream of having a car some years back (yangu ilikuwa RAUM) but with time Mungu akanipa gari ingine ambayo naweza sema ipo juu ya RAUM kwa uzuri,uimara na ubora.
Uwaandae watu wa Faya mapema
Hiyo sio gari kabisa, ikikasirika inawaka moto tu yenyewe na kulipuka na huwezi okoa chochote, nyoko sana hizi Dualis