Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
- #41
RIP! Bora ununue baskel mkuu sio takataka Hilo utakuja kujuta, Kuna mwamba anahangaika kuuza Kwa million 5 na watu hawalinunui
Naomba namba yake niinunue hiyo gari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP! Bora ununue baskel mkuu sio takataka Hilo utakuja kujuta, Kuna mwamba anahangaika kuuza Kwa million 5 na watu hawalinunui
Namiliki Nissan Dualis...Swala sio kupata moto mkuu. Kama uko dar kwani hujazishuhudia hata mara moja unakuta tu imetoka tu hata mwenge kwenda posta hapo katikati magomeni ikashika moto.
Masala marefu inaenda tu vizuri na unaweza kwenda na kurudi nayo vizuri na ikawa Salama. Mimi nimesafiri nayo Dar to mbeya ilivyofika. Na nikarudi nayo siku nyingine Dar na nikarudi nayo mbeya na mioto yangu sio ya kitoto.
Cha ajabu kuna siku nimetoka nayo kyela kurudi mbeya,ni kama km 100 ikashika moto hapo katikati. Kyela to mbeya inaweza ikawa chalinze to posta dar. Hapo katikati ikashika moto.
Nilianza kusikia kama harufu kitu kinaungua,kufika sehemu moja brake zikapotea. Kila nikipamp hamna brake. Kufika mbele kama km 3 hivi harufu ikazidi,mwanzo nilijua ni harufu ya loli lilikuwa mbele yangu. Nikafanya kulipita. Harufu bado kali kitu kinaungua. Nikapack pembeni ile kufungua bonet daah moshi ulioibuka hapo. Wakatokea washikaji hapo piga piga maji na mchanga kumbe wanapiga sehemu ya engine kwa juu. Moto ulikuwa kwa chini pale karibia na pipe za mafuta ya brake. Jamaa mmoja akachungulia ndio akauona moto mdogo tu kwa pale. Na ile harufu ilikuwa ni yale mapamba kama mblanket hivi yale,kumbe yanasaidia sana yale.
Mwisho ilipona ila wakati wanapiga maji kwa wingi wakaisukuma rubber iko pembeni ya control box ya gear box. Yenyewe kwenye hizi gari iko mbele ya engine pale pembeni ya battery. Kwa hiyo baada ya pale kuna fundi akaiweka sawa nikafika mbeya vizuri tu. Sasa kuanzia hapo gear zikaanza kugoma kuingia. Kwa hiyo niligharamia control box tu na wakaweka sawa pale moto unapoanzia
Na upokee haja za moyo wako; Mungu akuzidishie zaidi ya kile unachohitaji! Akili nzuri sana hiiTupambane mkuu halafu tupunguze ujinga tutaendesha zaidi ya hizi...
dualis...nissan xtrail sio gari za mtu kuanza kujifunzia kumiliki gari hata kidogoo yani wengi wanakuwa hawajui kuhusu service wala kuitunza garii mtu unaamka week nzima haangalii kama kuna maji wala nini yeye anawasha tu garii aisee mimi binafsi namshauri atafute toyota tena kina vitz au ist otherwise kitaumana na atachukia gariii CC 2000+ uwe na hela kweliChukua nissan x trail new model
Namiliki Nissan Dualis...
Ni gari nzuri sana.
Hayo unayoyaita mapamba kama blanketi ndio yaliyowasha moto Sasa.
Ufafanuzi huu hapa... [emoji116][emoji116]View attachment 2783705View attachment 2783706
Nahisi ata ukiniona mm pia utanitamani[emoji1751]
dualis...nissan xtrail sio gari za mtu kuanza kujifunzia kumiliki gari hata kidogoo yani wengi wanakuwa hawajui kuhusu service wala kuitunza garii mtu unaamka week nzima haangalii kama kuna maji wala nini yeye anawasha tu garii aisee mimi binafsi namshauri atafute toyota tena kina vitz au ist otherwise kitaumana na atachukia gariii CC 2000+ uwe na hela kweli
Sidhani kama ni sababu hiyo. Ksbb mimi sikutoka kuosha gari. Halafu ktk vitu navikwepa ktk gari kuoshwa ni kupigwa presure kwenye engine,hicho kitu sikitumii ksbb najua madhara yake. Umechunguza nyingi zinazowaka njiani unafikiri zimetoka kupigwa presure? Pia yale kama mablanket yalisaidia sana siku ile kuzuia moto usije kwa kasi. Japo siwezi kukukatalia kwamba yanaweza kuwa ndio chanzo cha moto. (Nitachunguza pia). Lakini sio ikitoka kuoshwa. Ksbb nyingi zinawaka sio zimetoka kuoshwaNamiliki Nissan Dualis...
Ni gari nzuri sana.
Hayo unayoyaita mapamba kama blanketi ndio yaliyowasha moto Sasa.
Ufafanuzi huu hapa... [emoji116][emoji116]View attachment 2783705View attachment 2783706
Vipi kuhusu crown athletes,,Kwa wanaozijua hizi gari naomba maelezo kidogo,maana nazielewaga sana hizi gar especially hizi new model
Sidhani kama ni sababu hiyo. Ksbb mimi sikutoka kuosha gari. Halafu ktk vitu navikwepa ktk gari kuoshwa ni kupigwa presure kwenye engine,hicho kitu sikitumii ksbb najua madhara yake. Umechunguza nyingi zinazowaka njiani unafikiri zimetoka kupigwa presure? Pia yale kama mablanket yalisaidia sana siku ile kuzuia moto usije kwa kasi. Japo siwezi kukukatalia kwamba yanaweza kuwa ndio chanzo cha moto. (Nitachunguza pia). Lakini sio ikitoka kuoshwa. Ksbb nyingi zinawaka sio zimetoka kuoshwa
Dream can be true if you add up effort and have knowledge on what you prefer doing......Dualis ni ndoto yako andaa mazingira yake (Mafuta,utunzaji n.k) .... Nimesema haya maana umesema hujui hata kuendesha gariLeo nimeanza kujichanga ninunue Dualis nissan.
Siwezi sema kiasi gan naitamani hii gari ila mjue tu nikiiona akili yangu huwa inataka kuweuka.
Mi sina gari,
Sijui kuendesha ( siyo 0 kabisa no)
Sikuwaga na interest za magari
Ila sasa kuna hii gari imetokea inaitwa ……View attachment 2783004
View attachment 2783006
View attachment 2783007
Yaan kiasi kwamba niki Nikimuona mtu anaendesha hii gari naona ANAISHI KWENE ndoto yangu kabisa.Namtamani ningekua ndo mimi naimiliki[emoji848]
nipeni ushauri nisije nikajikuta nimeuza had kabanda kangu kisa kutafuta milion22 za hii gari[emoji3064]
Itakuwa ishapitwa na wakatimiaka 2
Nikiona na iyo avatar yako kwel kupoteza jicho juu ya tamaa yaezekanaTamaa itaponza jicho kuwa makini