Leo nimeanza kujichanga ninunue Dualis nissan.
Siwezi sema kiasi gan naitamani hii gari ila mjue tu nikiiona akili yangu huwa inataka kuweuka.
Mi sina gari,
Sijui kuendesha ( siyo 0 kabisa no)
Sikuwaga na interest za magari
Ila sasa kuna hii gari imetokea inaitwa ……
View attachment 2783004
View attachment 2783006
View attachment 2783007
Yaan kiasi kwamba niki Nikimuona mtu anaendesha hii gari naona ANAISHI KWENE ndoto yangu kabisa.Namtamani ningekua ndo mimi naimiliki[emoji848]
nipeni ushauri nisije nikajikuta nimeuza had kabanda kangu kisa kutafuta milion22 za hii gari[emoji3064]
$AVING ~i
Nimeanza kukusanya hela saizi nina 3000/= nimeitia kwa kibubu