GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mkuu, mbona tokea huu mwezi uanze sijasikia kama kuna Nissan ilmeungua? Suala la kuungua linaweza likawa ni ajali kama ajali zingine. Kama zingekuwa na tatizo sana, Serikali ingezipiga marufuku kuingizwa nchini. Maadam TBS imeziridhia, amini ya kuwa ni bidhaa bora.Hiyo inaongoza Kwa kuungua...utalia ukinunua halafu iungue unaiona
Mimi naamini kila kitu ni matunzo.watu wanakariri sana mkuu, watu wana nissan tangu TZF na sasa ina usajili wa AUG na bado inapiga mzigo bila shida na ina km laki 6 na kitu na haijawah kufanyiwa overhaul
shida watu wengi wameanza kuona dualis zikiwa na usajili wa D wakati kuna dualis namba A na B. so muhimu ni matuzo kama ulivosema mkuuMimi naamini kila kitu ni matunzo.
👏👏👏SAVING ii
Hadi sasa nimefikisha kiasi cha sh 10,000/=
Milioni 24 sio mbali nitafika[emoji3064]
Uko sahihi mkuu!"Brother ukiona kitu umekitamani hasa ujue hiyo ni ishara tosha kuwa unaweza kukimiliki regardless mazingira yanayokuzunguka yalivyo"
.....ishi kwenye ndoto zako Kwa gharama yoyote.
Mimi gari yangu ya kwanza kuinunua na kujifunza ni Subaru legacy Bl sport na sijawahi jutia uamuzi wangu licha kukutana na washauri lukuki mara ooooooh!...inakula wesee.... Oooh...spare zake gharama....oooooh....zipo chini sana..ila Brother nadunda nayo kama kawaida.
"Maisha ni yako, ndoto ni zako ukizubaa tutakuteka uishi kwenye zetu"
Tatizo hapo haliwi la gari bali la mtumiaji.Hiyo Gari siitaki hata kuisikia,Gari za Nisan zina kila kitu chake ukimix tu shida itaanzia hapo.
Hiyo ni zaidi ya gari mkuu.Siku nikifanikiwa kupata hela ya kununua gari hakika hii ndo aina ya gari nitakayonunua
Mtu akiwa anaendesha hii gari naona kama anaendesha ndege View attachment 2783260View attachment 2783261
Ipo kwa Sossy hii..Jamani mie napenda Harria nyeusi tako la nyani balaa, nna 20 .wenye lililo ktk hali nzuri anicheki.
Ipo kwa Sossy hii..View attachment 2791358
Afu tatu hadi sasa....$AVING ~i
Nimeanza kukusanya hela saizi nina 3000/= nimeitia kwa kibubu
Hakikisha tuu una moyo wa spareLeo nimeanza kujichanga ninunue Dualis nissan.
Siwezi sema kiasi gan naitamani hii gari ila mjue tu nikiiona akili yangu huwa inataka kuweuka.
Mimi sina gari,
Sijui kuendesha ( siyo 0 kabisa no)
Sikuwaga na interest za magari
Ila sasa kuna hii gari imetokea inaitwa ……
View attachment 2783004
View attachment 2783006
View attachment 2783007
Yaan kiasi kwamba niki Nikimuona mtu anaendesha hii gari naona ANAISHI KWENE ndoto yangu kabisa. Namtamani ningekua ndo mimi naimiliki[emoji848]
nipeni ushauri nisije nikajikuta nimeuza had kabanda kangu kisa kutafuta milion22 za hii gari[emoji3064]
$AVING ~i
Nimeanza kukusanya hela saizi nina 3000/= nimeitia kwa kibubu
Hakikisha tuu una moyo wa spare
Wabongo utaskia nissana sio gari sasa ni nini. Mmezoea kuhujumu magari hamuyapi service na mnayatumia vibaya sana. Alafu wengi wetu hatuma magari tunabaki kuskiliza stor za vijiweni tu. Magari kibao mazuri ila uoga wetu na umaskini unafanya tuyatafutie sababu
Nitajitahidi ivo ivo
Wanakutisha tu. Matukio ya magari kuungua moto ni jambo la kawaida na hutokana na hitilafu za kiufundi na uzembe wa kitozishughulikia kwa wakati.kwene kupata moto hapo!! huwezi kwenda nayo masafa marefu.
Lets say mbeya hadi Arusha haifiki?
Shida ya wabongo, wanafanya modification ambazo zinakinzana na standards za kiwandani then wanalalamika gari mbovu. Sasa unatoa kitu ambacho kiwandani walikiweka kwasababu ili iweje?Sasa insulator imewekwa pale kwaajili ya kuzuia joto kupenya ukiwa utaondoa si ndio balah zaidi ?