Wenye Nissan Dualis nawatamani sana hamjui tu

SAVING ii
Hadi sasa nimefikisha kiasi cha sh 10,000/=

Milioni 24 sio mbali nitafika[emoji3064]
[emoji23][emoji23][emoji23] nimependa spirit yako. Kaza misuli sasa ili hicho kisanduku hela kijae fasta. Pambana sana.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] jamaa we fala Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupunguze starehe mkuu tuitafute hii, hii sasa ndio gari.
 
Attachments

  • Screenshot_20231106_072416_Google.jpg
    55.7 KB · Views: 9
Ilikuwa dream car yangu, nilikuwa najichanga December hii niichukue mbona tunatishana tena?? Kwa hiyo ni bora nirudi kwenye IST new model tena na sio Dualis???

mwenzangu umefikia sh ngap
 
mwenzangu umefikia sh ngap
Mimi nakaribia kufika deadline kabisa december hii mtoto anatua. Kuna huyo jirani anapita asubuhi kila siku na dualis yake huwa namtamania sana yaani. Ila haya maswala ya kuwaka moto wamenitisha tena
 
Mimi nakaribia kufika deadline kabisa december hii mtoto anatua. Kuna huyo jirani anapita asubuhi kila siku na dualis yake huwa namtamania sana yaani. Ila haya maswala ya kuwaka moto wamenitisha tena

nunua ww upate ur own experience
 
Si huwa mnasema Nissan spare ni ghali na hazipatikani au?
 
Unawatamani ila hawajui tuu. Wamekusikia, acha kutamani.
 
Ilikuwa dream car yangu, nilikuwa najichanga December hii niichukue mbona tunatishana tena?? Kwa hiyo ni bora nirudi kwenye IST new model tena na sio Dualis???
CHUKUA NISSAN DUALIS,,
gari ina muonekano mzuri,utumiaji wa wese sio mbaya na spares zipo nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…