Wenye nyumba imefika wakati mbadilike sasa, mtuhurumie sisi wapangaji, kodi zilipwe kwa mwezi na si miezi 3,6 wala mwaka

FAJES

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
720
Reaction score
644
Kwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi?

Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa kujikwamua?.

Sisi wapangaji wenu wenye kipato kidogo tunaumia sana kwakweli. Hebu tufikirieni jamani. Sawa nyumba ni zenu na ujenzi wa nyumba tunajua ni gharama. Ila mtufikirie na sisi wamiliki wa nyumba wa miaka ijayo. Maisha kusaidiana. Siyo poa hivyo mnavyotufanyia.

Yaani unakuta unaambiwa ulipe kodi ya mwaka let's say 250,000 x 12 = 3,000,000. Sasa kweli hii kodi kwa sisi wajasiriamali wadogo tutaweza vipi kulipa? Najua mtasema mnaogopa usumbufu, ila imefika wakati tubadili huu utaratibu wajameni.

Huko duniani nchi za Wenzetu walioendelea utaratibu wa kodi ni kila mwezi, na inalipika vizuri tu. Sasa sisi huu utaratibu wa mwaka unakujaje? Tubadilike.
 
Kwakweli tuvumilieni tu munajua uchungu wa kujenga nyie??? [emoji23]
 
Kwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi?

Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa kujikwamua?. Sisi wapangaji wenu wenye kipato kidogo tunaumia sana kwakweli. Hebu tufikirieni jamani. Sawa nyumba ni zenu na ujenzi wa nyumba tunajua ni gharama. Ila mtufikirie na sisi wamiliki wa nyumba wa miaka ijayo. Maisha kusaidiana. Siyo poa hivyo mnavyotufanyia.

Yaani unakuta unaambiwa ulipe kodi ya mwaka let's say 250,000 x 12 = 3,000,000. Sasa kweli hii kodi kwa sisi wajasiriamali wadogo tutaweza vipi kulipa? Najua mtasema mnaogopa usumbufu, ila imefika wakati tubadili huu utaratibu wajameni.

Huko duniani nchi za Wenzetu walioendelea utaratibu wa kodi ni kila mwezi, na inalipika vizuri tu. Sasa sisi huu utaratibu wa mwaka unakujaje? Tubadilike.
Mkuu suluhisho ni kujenga nyumba ya kwako.
Hutagombana na mwenye nyumba hata siku moja.
 
Yes,,, Dawa imekuingia ipasavyo...

Mkuu hutakiwi kutia tia huruma kwenye Dunia hii,,, Walimwengu sio wazazi wako... Dsm kuna vyumba vya Giza wanapangisha hata 10,000 unapata...

Hio kero naomba iwe motivation factor ya wewe kujenga nyumba yako..(The Only solution)
 
Sasa hivi tunapokea kodi ya mwezi mmoja mmoja na inalipwa kila tarehe moja, huu utaratibu tunakuwa kama vile tunafanya kazi serikalini kila tarehe 1 tunapokea mshahara,

Huu utaratibu unaturahisishia kuwajua wapangaji wasumbufu pia wenye tabia mbovu mbovu akimaliza mkataba wake wa mwezi mmoja unafukuza
 
Hayo ni makibaliano binafsi na mwenye nyumba wako wenzako tunaona bora tulipe mwaka kabisa
 
Yes,,, Dawa imekuingia ipasavyo...

Mkuu hutakiwi kutia tia huruma kwenye Dunia hii,,, Walimwengu sio wazazi wako... Dsm kuna vyumba vya Giza wanapangisha hata 10,000 unapata...

Hio kero naomba iwe motivation factor ya wewe kujenga nyumba yako..(The Only solution)
Mkuu tuoneane huruma tafadhali.
 
Sasa hivi tunapokea kodi ya mwezi mmoja mmoja na inalipwa kila tarehe moja, huu utaratibu tunakuwa kama vile tunafanya kazi serikalini kila tarehe 1 tunapokea mshahara,

Huu utaratibu unaturahisishia kuwajua wapangaji wasumbufu pia wenye tabia mbovu mbovu akimaliza mkataba wake wa mwezi mmoja unafukuza
Mkuu safi sana. Hebu jitahidi kuwashauri pia matajiri wenzio wenye nyumba wawe na ufahamu kama huu wako..
 
Mkuu na sisi tunapambana tujenge zetu. Ila nadhani hata nyie mliojenga mlianzia huku tulipo sisi kwanza.
Mkuu sikuwahi kukaa nyumba ya kupanga.
Nilijenga banda nililohamia nikitoka kwa mzee wangu.
Nilichekwa sana lakini baada ya muda mi ndio nikawaonea huruma.
 
Kwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi?

Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa kujikwamua?. Sisi wapangaji wenu wenye kipato kidogo tunaumia sana kwakweli. Hebu tufikirieni jamani. Sawa nyumba ni zenu na ujenzi wa nyumba tunajua ni gharama. Ila mtufikirie na sisi wamiliki wa nyumba wa miaka ijayo. Maisha kusaidiana. Siyo poa hivyo mnavyotufanyia.

Yaani unakuta unaambiwa ulipe kodi ya mwaka let's say 250,000 x 12 = 3,000,000. Sasa kweli hii kodi kwa sisi wajasiriamali wadogo tutaweza vipi kulipa? Najua mtasema mnaogopa usumbufu, ila imefika wakati tubadili huu utaratibu wajameni.

Huko duniani nchi za Wenzetu walioendelea utaratibu wa kodi ni kila mwezi, na inalipika vizuri tu. Sasa sisi huu utaratibu wa mwaka unakujaje? Tubadilike.
Yaani ujumbe utakuwa umefika pahala pake
 
Serikali ingejikita kujenga nyumba na kuwapangishia watu ingepunguza jeuri za wenye nyumba

Ova
 
mjasiriamali mdogo unapanga vi[pi nyumba ya 250,000 wakati zipo za elfu sitini sabini n.k nzuri tu acha kujitesa ndugu
 
Back
Top Bottom