PHiyo ni muhimu maana kuna watu wanatabia zakutoboa kuta za nyumba na misumari, ukiwaambia wanunue rangi wapake wanakuwa wakorofi. Kuna mwingine juzi kaaribu bomba la mvua la 150k alafu anachukulia simpo simpo tu. Mimi huwa nachukuwa ya miezi kabisaa na sio mwezi.
Umeshawahi kumiliki nyumba ya kupangisha? Nina mashaka na hilo. Ukiwajua vizuri watanzania wasivyolipa kodi lazima na wewe ungebadilika na kudai kodi ya miezi kadhaa mapema. Labda kama unataka kudaiana madeni na wapangaji walioondoka na madeni tena bila hata kutoa taarifaNi sawa kuwa na fedha ya dharura. Kitu ambacho sio sawa ni kudai kodi ya miezi 6.
Kuna wengine wanapikia mkaa nyumba inakuwa giza kweli, wengine tiles anakuta safi ila siku anaondoka zote unakuta zimepasuka na wengine kwenye kulipa kodi mpaka umtafte dalali aliomleta ndio akulipe kwa manung'uniko na laana juu utasema mlijenga wote.P
kumbe wee ni baba mjengo, sasa mbona husemi?
Fanya niwe mama mjengo bas jamanii, ila P acha kukamua wapangaji wako.
Unawaonea. Lol 😂😂😂😂😂😂
Uchafu hiki kitu huwa nakataa au sikipendi, au uharibifu usio na msingi.Kuna wengine wanapikia mkaa nyumba inakuwa giza kweli, wengine tiles anakuta safi ila siku anaondoka zote unakuta zimepasuka na wengine kwenye kulipa kodi mpaka umtafte dalali aliomleta ndio akulipe kwa manung'uniko na laana juu utasema mlijenga wote.
Mambo ya dar hayo huwezi kuta mkoani mzeeNdo nasikia hapa, kuwa kuna hela ya tahadhari pia.
Huu wizi na utapeli haunipati, ya dalali enyewe sitoi, sembuse hiyo ya tahadhari?
Sina ugai gai huo. LOL
Hii system ipo sehemu nyingi sana duniani kama huku ndio inaanza basi wamechelewa sana. Maana jiweke kwenye nafasi ya mwenye nyumba wanakuja watu wanapanga siku wanaondoka wanakuchia kuta nyeusi, misumari kila sehemu huku watoto wamechora kuta... hii ni sawa tuHii niliikuta Ujerumani. Kule unatoa kodi ya miezi mitatu kama tahadhari landlord anakaa nayo, wenyewe wanaita "Kaution". Siku unapoondoka landlord anakagua nyumba then anakurudishia.
Ila uzuri wa kule hakuna mambo ya kulipa kodi ya miezi sita, unalipa kwa mwezi tu.
Kwambaaa??Mambo ya dar hayo huwezi kuta mkoani mzee
Bro uta tuua ma jobless, yaani kodi laki 6 miezi 3 + caution laki 4 = 1m huu si mshahara wa waalimu wa2 take home 😂😅Ewaaa. Nimepata mbinu za kumbana mpangaji wangu. Mtu anapanga miezi mitatu analipa laki 6. Ila anaharibu kila system ndani. Mimi tahadhari ni mezi 2
Ukivunja mlango wa mtu wewe hela yakurekebisha utaipata wapi? Ndio hiyo ela ya taadhari hapa nilipo kabla sijaamia nilitakiwa kuliwa deposit ya mwezi mmoja na nikalipa. Ikitokea nahama mimi na mwenye nyumba tunakagua vyote kama vipo sawa ela yangu napewa kama kuna uharibifu hiyo ela ndio itagaramia huo uwaribifu nilioufanya kipindi niko hapoMaisha yanazidi kua magumu kwa wapangaji kila kukicha.
Kuna kautaratibu naona kanazidi kua ka kawaida kwa wenyenyumba ukienda kupanga kwa mara ya kwanza, wanataka kodi ya mwezi mmoja kama hrla ya taadhali endapo kuna uharibifu utatokea pindi utakapohama, basi iyo hela itacover, na usipotokea, wanadai watarefund.
Ni kama caution money ya shule ya sekondari na vyuoni. Bora ile inarudishwa ila hii ngumu sana maana lazima nyumba itakua na kasoro tu kwa miezi 6 au mwaka utakaoishi.
Huu ni ujambazi mwingine.
Imagine:
-Kodi miezi 6
-Hela ya dalali mwezi 1
-Tahadhari mwezi 1
Kwahiyo jumla miezi 8!
Hivi ni Taadhali, Tahadhali au Taadhari au Tahadhari? Elimu haina mwisho.
Hii ipo mkuu. Sema kibongo bongo naona malandlord kuturudishia pesa ya security lazima iwe vita, lazima watutafutie sababu ili wabaki nayoMaisha yanazidi kua magumu kwa wapangaji kila kukicha.
Kuna kautaratibu naona kanazidi kua ka kawaida kwa wenyenyumba ukienda kupanga kwa mara ya kwanza, wanataka kodi ya mwezi mmoja kama hrla ya taadhali endapo kuna uharibifu utatokea pindi utakapohama, basi iyo hela itacover, na usipotokea, wanadai watarefund.
Ni kama caution money ya shule ya sekondari na vyuoni. Bora ile inarudishwa ila hii ngumu sana maana lazima nyumba itakua na kasoro tu kwa miezi 6 au mwaka utakaoishi.
Huu ni ujambazi mwingine.
Imagine:
-Kodi miezi 6
-Hela ya dalali mwezi 1
-Tahadhari mwezi 1
Kwahiyo jumla miezi 8!
Hivi ni Taadhali, Tahadhali au Taadhari au Tahadhari? Elimu haina mwisho.