Wenye tabia za kichawi, acheni kuwanga

Wenye tabia za kichawi, acheni kuwanga

Huyo jamaa ,asiowe uyo binti, atatengeneza kizazi cha wachawi kama si mkewe basi watoto Lazima warithi mikoba,
Pili ataroga nje ipo siku sadaka itatakiwa na si mwingine ni yeye au watoto atakaopata na huyo binti.
Kiufupi Mungu kamuonesha familia anayoenda kuoa
 
Mhhhh ya ukweli haya? Mbona inatisha kuwa ukweli?

Kama ni kweli basi binti anajua mama yake mchawi kwa kauli yake ya kumzuia kwenda kuwanga siku hiyo.

Ila mchumba asamehe kama wanapendana hakuna shida uchawi wa mama sio issue.
Wachawi hua hawavai kaniki hua wanakua uchi mwili mzima hii story ni chai
 
Back
Top Bottom