Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Hata mimi naona kamuombee basiAchaneni na imani pot potofu Mama anatatizo la afya ya akili na.anahitaji kusaidiwa kwa hali na mali!!!!
Afya ya akili kunasa Kwenye paa la watu na makani na matunguli?,acha kutetea ujinga mkuuAchaneni na imani pot potofu Mama anatatizo la afya ya akili na.anahitaji kusaidiwa kwa hali na mali!!!!
Kweli kabisa mana tomaso anabishana na ukweliHata mimi naona kamuombee basi
Wanga hata humu wapoKweli kabisa mana tomaso anabishana na ukweli
Ilo najua ndo mana wanakua wakaliππtunapo wachana ukweliWanga hata humu wapo
Wachawi hua hawavai kaniki hua wanakua uchi mwili mzima hii story ni chaiMhhhh ya ukweli haya? Mbona inatisha kuwa ukweli?
Kama ni kweli basi binti anajua mama yake mchawi kwa kauli yake ya kumzuia kwenda kuwanga siku hiyo.
Ila mchumba asamehe kama wanapendana hakuna shida uchawi wa mama sio issue.
Sawa ila sio wote siku hizi wanajisitiriWachawi hua hawavai kaniki hua wanakua uchi mwili mzima hii story ni chai
π π π π π π
mambo mengine ni ya aibu jamaniππUmeshtuka sasa usiombe ikukute umeenda kunitambulisha alafu ndio hivyo ushanikosa π€ͺ
Umenikosa umenikosa umekosa π€ͺ nikiondoka sigeuko nyuma hata uzimiemambo mengine ni ya aibu jamaniππ
Umesema wachawi ni wasengenyaji au ni wasengerema? π€ͺWachawi wasennge sana!
Huyo bora aachane nae hao watu ni Hatari sana!
πππΎππΎππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈUmesema wachawi ni wasengenyaji au ni wasengerema? π€ͺ