Wenye tabia za kichawi, acheni kuwanga

Mhhhh ya ukweli haya? Mbona inatisha kuwa ukweli?

Kama ni kweli basi binti anajua mama yake mchawi kwa kauli yake ya kumzuia kwenda kuwanga siku hiyo.

Ila mchumba asamehe kama wanapendana hakuna shida uchawi wa mama sio issue.
Siyo issue kivipi?
 
hili ni janga lingine watu hawajalijua vizuri,vijana siku hizi wamegoma kuoa hii nimoja ya sababu...wazee wetu enzi za ujana wao walifanya sana ushirikina mpk imepelekea kuwa wachawi kabisa...ki ukweli ni kawaida miaka hii kwenda kuoa au kuolewa kwenye chaka la wachawi na kutaabika fo the rest of your life..MAISHA YAMEKUWA COMPLICATED KWENYE KILA JAMBO SIKU HIZI...

ndugu yangu mmoja kaoa juzi tu hapa ila unaambiwa huyo aliyemuoa ni namba mbaya sana usiku,imagine mke tena binti tu,usiku kazi zake kuwanga asa hiyo ndoa au ndoano?
 
Chai
 
Nenda kwa yule kiboko ya wachawi
 
Kinachoshangaza kuhusu uchawi utausikia wee kwa watu, mara 'mchawi aliganda', 'mchawi alidondoka kanisani', hutokaa uone...

Stori za vijiweni.
Omba mwanangu ushuhudie

Mimi niliwahi kumuona mmoja kitaani mabibo ila polisi waliwahi kumuokoa mbele ya raia.

Mwingine alikuwa ni baba mkubwa akayakanyaga Kwa ma'mkubwa alidhani mama mkubwa ni mchekea

Uchawi/ushirikina mwingine nilishuhudia Shule huko Iringa Migoli asee watoto wa day wasio lala mabwenini wa Ile shule wanaroga balah! Kisa tu kreti za soda,mbuzi na ng'ombe,

Nusu final ya chandimu tukapigwa goli tatu za chapuchapu lakini wataalamu wetu wakaleta chumvi na tangawizi tukategua tego tukashinda mechi kibabe

Final nyingine ya gozi wachezaji wakagoma kulala mabwenini Ili kujihadhari, wakajifanya wanabundi lakini madogo wakajua kabisa tumewakimbia wao (maana asubuhi walitupiga vijembe na mipasho ya hapa na pale) kesho yake kabla ya mechi wachezaji wakakubaliana wajipake mafuta ya nguruwe mmoja akogoma akesema yeye muislamu,dah! chuma ikipitia kulekule kwake tukafa kimoja Cha uchungu.

Kwenye handball na basketball atakufua dafu kabisaa tuliambulia volleyball tu ambayo walishutukizwa hivyo hawakufanya maudhaufha yao.

Nyingine nahisi kabisa ilikuwa kwenye Lukuvi Cup asee uchawi/ushirikina upo na mimi kunajambo lilinikuta pale migoli,yani pale ni pamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…