Wenye tabia za kichawi, acheni kuwanga

Wenye tabia za kichawi, acheni kuwanga

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
MAMA MCHAWI
****************

Habari za leo wapendwa....

Nina kisa kimoja kimetokea juzi tarehe 11,😢😢😢😢😢😢

Iko hivi kuna rafiki yangu mmoja alipata mchumba,baada ya kuridhiana wakaanza maisha,kijana alienda kumtambulisha binti kwao ila binti hakuwahi kumtambulisha kijana kwao,basi wameishi kwa pamoja muda wa mwaka mmoja na miezi2 baadae binti ambaye ni rafiki yangu akaamua kwenda kumtambulisha mchumbaake kwao.

Basi shoga zangu,akatuandaa sisi marafiki tumsindikize na kijana nae akaandaa marafiki zake watakaomsindikiza..kwao binti.... Basi bana si tukajiandaa vizuri siku ya tarehe10 ndo tulienda kwao rafiki yangu. Namshukuru Mungu tulikaribishwa vizuri kwa ukarimu na ucheshi sana. Tulifurahia kuwafahamu wazazi wake rafiki yangu basi taratibu nyingine zikaendelea

Usiku ulipowadia tukaingia kupumzika mahali tulipoandaliwa wageni,basi sie tukalala

Wapendwa usiku huo kumbe mama mkwe ni mchawi katoka zake kwenda kuwanga,na huo mji aloenda kuwawangia kumbe haungiliki ovyo.....mama wa watu kaganda hadi asubuhi saa12.

Sisi tumelala mara ghafla kelele huko nje zikaanza huyo mchawii umezoea leo umeshindwa mmh,
Hizo kelele za kijijin ikabidi nasi tuamke na kwenda kushuhudia.

Vile tumetoka wageni wote nje. Tulipigwa na butwaa sana baada ya kumkuta mamaake rafiki yangu ndo anayepigwa na kavaa zake kaniki na vibuyu mkononi na mijitu kashikilia mkononi😢😢😢😢

Jamani omba isikukute 😭😭😭mama mkwe mbele ya mkwewe amevaa kaniki,binti alilia akisema mama laiti ningejua leo hii ningekuzuia usiende kuwanga binti wa watu akazirai mkwe kaamua kuondoka, na kamuacha binti kabisa hamtaki tena..binti alivyoamka nae kaondoka nyumbani ikabidi nasi turudi zetu nyumbani.

JAMAN WAMAMA WAMAMA MNAOWANGA JAMAN 😭😭😭😭Naumia sana najaribu kuvaa kiatu cha yule dada kinanibana jaman Inaumiza sana

Acheni kuwanga jaman wenye tabia kama hizi.
 
Mhhhh ya ukweli haya? Mbona inatisha kuwa ukweli?

Kama ni kweli basi binti anajua mama yake mchawi kwa kauli yake ya kumzuia kwenda kuwanga siku hiyo.

Ila mchumba asamehe kama wanapendana hakuna shida uchawi wa mama sio issue.
 
MAMA MCHAWI
****************

Habari za leo wapendwa....

Nina kisa kimoja kimetokea juzi tarehe 11,😢😢😢😢😢😢

Iko hivi kuna rafiki yangu mmoja alipata mchumba,baada ya kuridhiana wakaanza maisha,kijana alienda kumtambulisha binti kwao ila binti hakuwahi kumtambulisha kijana kwao,basi wameishi kwa pamoja muda wa mwaka mmoja na miezi2 baadae binti ambaye ni rafiki yangu akaamua kwenda kumtambulisha mchumbaake kwao.

Basi shoga zangu,akatuandaa sisi marafiki tumsindikize na kijana nae akaandaa marafiki zake watakaomsindikiza..kwao binti.... Basi bana si tukajiandaa vizuri siku ya tarehe10 ndo tulienda kwao rafiki yangu. Namshukuru Mungu tulikaribishwa vizuri kwa ukarimu na ucheshi sana. Tulifurahia kuwafahamu wazazi wake rafiki yangu basi taratibu nyingine zikaendelea

Usiku ulipowadia tukaingia kupumzika mahali tulipoandaliwa wageni,basi sie tukalala

Wapendwa usiku huo kumbe mama mkwe ni mchawi katoka zake kwenda kuwanga,na huo mji aloenda kuwawangia kumbe haungiliki ovyo.....mama wa watu kaganda hadi asubuhi saa12.

Sisi tumelala mara ghafla kelele huko nje zikaanza huyo mchawii umezoea leo umeshindwa mmh,
Hizo kelele za kijijin ikabidi nasi tuamke na kwenda kushuhudia.

Vile tumetoka wageni wote nje. Tulipigwa na butwaa sana baada ya kumkuta mamaake rafiki yangu ndo anayepigwa na kavaa zake kaniki na vibuyu mkononi na mijitu kashikilia mkononi😢😢😢😢

Jamani omba isikukute 😭😭😭mama mkwe mbele ya mkwewe amevaa kaniki,binti alilia akisema mama laiti ningejua leo hii ningekuzuia usiende kuwanga binti wa watu akazirai mkwe kaamua kuondoka, na kamuacha binti kabisa hamtaki tena..binti alivyoamka nae kaondoka nyumbani ikabidi nasi turudi zetu nyumbani.

JAMAN WAMAMA WAMAMA MNAOWANGA JAMAN 😭😭😭😭Naumia sana najaribu kuvaa kiatu cha yule dada kinanibana jaman Inaumiza sana

Acheni kuwanga jaman wenye tabia kama hizi.
Chai
 
MAMA MCHAWI
****************

Habari za leo wapendwa....

Nina kisa kimoja kimetokea juzi tarehe 11,[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Iko hivi kuna rafiki yangu mmoja alipata mchumba,baada ya kuridhiana wakaanza maisha,kijana alienda kumtambulisha binti kwao ila binti hakuwahi kumtambulisha kijana kwao,basi wameishi kwa pamoja muda wa mwaka mmoja na miezi2 baadae binti ambaye ni rafiki yangu akaamua kwenda kumtambulisha mchumbaake kwao.

Basi shoga zangu,akatuandaa sisi marafiki tumsindikize na kijana nae akaandaa marafiki zake watakaomsindikiza..kwao binti.... Basi bana si tukajiandaa vizuri siku ya tarehe10 ndo tulienda kwao rafiki yangu. Namshukuru Mungu tulikaribishwa vizuri kwa ukarimu na ucheshi sana. Tulifurahia kuwafahamu wazazi wake rafiki yangu basi taratibu nyingine zikaendelea

Usiku ulipowadia tukaingia kupumzika mahali tulipoandaliwa wageni,basi sie tukalala

Wapendwa usiku huo kumbe mama mkwe ni mchawi katoka zake kwenda kuwanga,na huo mji aloenda kuwawangia kumbe haungiliki ovyo.....mama wa watu kaganda hadi asubuhi saa12.

Sisi tumelala mara ghafla kelele huko nje zikaanza huyo mchawii umezoea leo umeshindwa mmh,
Hizo kelele za kijijin ikabidi nasi tuamke na kwenda kushuhudia.

Vile tumetoka wageni wote nje. Tulipigwa na butwaa sana baada ya kumkuta mamaake rafiki yangu ndo anayepigwa na kavaa zake kaniki na vibuyu mkononi na mijitu kashikilia mkononi[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Jamani omba isikukute [emoji24][emoji24][emoji24]mama mkwe mbele ya mkwewe amevaa kaniki,binti alilia akisema mama laiti ningejua leo hii ningekuzuia usiende kuwanga binti wa watu akazirai mkwe kaamua kuondoka, na kamuacha binti kabisa hamtaki tena..binti alivyoamka nae kaondoka nyumbani ikabidi nasi turudi zetu nyumbani.

JAMAN WAMAMA WAMAMA MNAOWANGA JAMAN [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Naumia sana najaribu kuvaa kiatu cha yule dada kinanibana jaman Inaumiza sana

Acheni kuwanga jaman wenye tabia kama hizi.
Achaneni na imani pot potofu Mama anatatizo la afya ya akili na.anahitaji kusaidiwa kwa hali na mali!!!!
 
Back
Top Bottom