mkulima hawezi pata hilo tatizo la nguvu za kiumeWanaume wanaokabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, sasa watapata ahueni baada ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKUH) kufanikisha upasuaji wa kupandikiza uume kutibu tatizo hilo.
Upasuaji huo ambao ni wa kwanza kufanyika katika ukanda wa Afrika Mashariki, umekuja wakati tatizo hilo likiwakabili wanaume wengi nchini hali inayowafanya wengi kutumia chochote kinachosemekana kinaongeza nguvu hizo.
😂😂😅Lolest!!Kwa hiyo mtu unakuwa na vidudu viwili au? Cha kupandikiza na kile chako cha zamani.
Mmmh, sasa kilichopo kinakatwa unawekewa kipya au?Kwa hiyo mtu unakuwa na vidudu viwili au? Cha kupandikiza na kile chako cha zamani.
Ndiyo, huu mtindo unaitwa bombambili kwa kitaalamu Phantomu.Kwa hiyo mtu unakuwa na vidudu viwili au? Cha kupandikiza na kile chako cha zamani.