Wenye timu yenu mjibuni Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe juu ya hii kauli yake

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Akizungumza Mubashara na Kipindi cha Michezo cha Jioni Uhai FM Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe amemuuliza Swali Mtangazaji wa zamu Omary Katanga ambalo nitalinukuu hapa;

"Samahani Mtangazaji Azam FC tuko Fainali ya ASFC na Yanga SC nao wako Fainali ya CAFCC Je, wale Wengine wako wapi?"

MINOCYCLINE "Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person" najulikana sina Timu ninayoishabikia hapa Tanzania hivyo nalitupa hili Swali Kuntu Kwenu ili mumjibu kwani naona kama vile amepiga Ikulu.
 
Mkuu hao tayari wameshabeba ndoo Yao ya kufa kiume[emoji23][emoji23]
JamiiForums-686154663.jpg
 
Akizungumza Mubashara na Kipindi cha Michezo cha Jioni Uhai FM Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe amemuuliza Swali Mtangazaji wa zamu Omary Katanga ambalo nitalinukuu hapa.......

"Samahani Mtangazaji Azam FC tuko Fainali ya ASFC na Yanga SC nao wako Fainali ya CAFCC Je, wale Wengine wako wapi?"

MINOCYCLINE "Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person" najulikana sina Timu ninayoishabikia hapa Tanzania hivyo nalitupa hili Swali Kuntu Kwenu ili mumjibu kwani naona kama vile amepiga Ikulu.
Kama Rashid wa KULI alisema "Yana mwisho haya" na sisi MAKOLO kindaki ndaki tunasema "Yataisha tu haya"
 
Dah umenikumbusha mbali Mkuu. Enzi hizo maisha yalikuwa matamu sana aisee. Sio kama sasa maisha ni artificial sana Mkuu!
 
Amemuuliza swali mtangazaji wa zamu Omary Katanga, harafu tulijibu sisi tena?
 
Mkuu, inawezekana kuwa hizi ID ni mmoja eeeeh? Ikila BAN ile maarufu, inaanza hii kufanya kazi kwa fujo. Na sasa, ile maarufu imeshakula ban! Lakini mara nyingi huwa tunamsababishia, kwa kumchokoza. Na kwa vile huwa hataki KUONEWA, hawezi kuvumilia, mpaka akujibu ulicho mchokoza!

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Popoma hata usipomchokoza, akiamua kukutukana, anakutukana tu. Kumbuka ana mafaili mawili ya ugonjwa wa afya ya akili katika Hospitali ya Mirembe Dodoma, na ile ya Lutindi Mkoani Tanga.
 
Teh! Teh! Teh! Mkuu, jamaa asingekuwa amepigwa ban, basi hapa ungekuwa umeshamtengenezea BAN! Asingekuacha!
Huwa ninaupenda sana ujasiri wake wa , "mwisho wa ugomvi", YEYE LAZIMA AWE AMEKUPIGA NGUMI YA MWISHO!

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Akizungumza Mubashara na Kipindi cha Michezo cha Jioni Uhai FM Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe amemuuliza Swali Mtangazaji wa zamu Omary Katanga ambalo nitalinukuu hapa;

"Samahani Mtangazaji Azam FC tuko Fainali ya ASFC na Yanga SC nao wako Fainali ya CAFCC Je, wale Wengine wako wapi?"

MINOCYCLINE "Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person" najulikana sina Timu ninayoishabikia hapa Tanzania hivyo nalitupa hili Swali Kuntu Kwenu ili mumjibu kwani naona kama vile amepiga Ikulu.
Fainali zinaingiaga timu mbili tu,hili swali ni la kishogashoga maana halina logic
 
Azam Fc ipo kwa ajili ya kutangaza bidhaa za kampun
 
Back
Top Bottom