MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Huyu jamaa mnamdhalilisha mno na vikopo vyake😳😲😲Wako Bunju wanauza Sabuni[emoji116][emoji116]View attachment 2626909
Kama Rashid wa KULI alisema "Yana mwisho haya" na sisi MAKOLO kindaki ndaki tunasema "Yataisha tu haya"Akizungumza Mubashara na Kipindi cha Michezo cha Jioni Uhai FM Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe amemuuliza Swali Mtangazaji wa zamu Omary Katanga ambalo nitalinukuu hapa.......
"Samahani Mtangazaji Azam FC tuko Fainali ya ASFC na Yanga SC nao wako Fainali ya CAFCC Je, wale Wengine wako wapi?"
MINOCYCLINE "Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person" najulikana sina Timu ninayoishabikia hapa Tanzania hivyo nalitupa hili Swali Kuntu Kwenu ili mumjibu kwani naona kama vile amepiga Ikulu.
Ndio kazi anayofanya huko Makolo....mudi anawaburuza anavyotaka[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Huyu jamaa mnamdhalilisha mno na vikopo vyake[emoji15][emoji44][emoji44]
Captain hapa kalipwa au imelipwa klabu?Huyu jamaa mnamdhalilisha mno na vikopo vyake😳😲😲
Dah umenikumbusha mbali Mkuu. Enzi hizo maisha yalikuwa matamu sana aisee. Sio kama sasa maisha ni artificial sana Mkuu!Kama Rashid wa KULI alisema "Yana mwisho haya" na sisi MAKOLO kindaki ndaki tunasema "Yataisha tu haya"
Kabisa.Dah umenikumbusha mbali Mkuu. Enzi hizo maisha yalikuwa matamu sana aisee. Sio kama sasa maisha ni artificial sana Mkuu!
Popoma hata usipomchokoza, akiamua kukutukana, anakutukana tu. Kumbuka ana mafaili mawili ya ugonjwa wa afya ya akili katika Hospitali ya Mirembe Dodoma, na ile ya Lutindi Mkoani Tanga.Mkuu, inawezekana kuwa hizi ID ni mmoja eeeeh? Ikila BAN ile maarufu, inaanza hii kufanya kazi kwa fujo. Na sasa, ile maarufu imeshakula ban! Lakini mara nyingi huwa tunamsababishia, kwa kumchokoza. Na kwa vile huwa hataki KUONEWA, hawezi kuvumilia, mpaka akujibu ulicho mchokoza!
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
kalipwa hela wewe unadhani kafanya bure?Huyu jamaa mnamdhalilisha mno na vikopo vyake😳😲😲
Teh! Teh! Teh! Mkuu, jamaa asingekuwa amepigwa ban, basi hapa ungekuwa umeshamtengenezea BAN! Asingekuacha!Popoma hata usipomchokoza, akiamua kukutukana, anakutukana tu. Kumbuka ana mafaili mawili ya ugonjwa wa afya ya akili katika Hospitali ya Mirembe Dodoma, na ile ya Lutindi Mkoani Tanga.
Mchumba tu huyo. Kwanza anachagua watu wa kuwatukana.Teh! Teh! Teh! Mkuu, jamaa asingekuwa amepigwa ban, basi hapa ungekuwa umeshamtengenezea BAN! Asingekuacha!
Huwa ninaupenda sana ujasiri wake wa , "mwisho wa ugomvi", YEYE LAZIMA AWE AMEKUPIGA NGUMI YA MWISHO!
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Fainali zinaingiaga timu mbili tu,hili swali ni la kishogashoga maana halina logicAkizungumza Mubashara na Kipindi cha Michezo cha Jioni Uhai FM Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe amemuuliza Swali Mtangazaji wa zamu Omary Katanga ambalo nitalinukuu hapa;
"Samahani Mtangazaji Azam FC tuko Fainali ya ASFC na Yanga SC nao wako Fainali ya CAFCC Je, wale Wengine wako wapi?"
MINOCYCLINE "Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person" najulikana sina Timu ninayoishabikia hapa Tanzania hivyo nalitupa hili Swali Kuntu Kwenu ili mumjibu kwani naona kama vile amepiga Ikulu.