Wenye uzoefu wa kusafiri nje ya nchi kwa basi naombeni uzoefu

Wenye uzoefu wa kusafiri nje ya nchi kwa basi naombeni uzoefu

mkuu ebu nifafanulie vizuri mimi ninayo passport ila sijawahi kusafiri kwenda nchi yoyote...je matharani nikiamua kwenda kenya akuna supporting documents nyingine natakiwa kuambatana nayo....?​
Hapo Kenya unaingia hata na temporary passport, ila kama siyo mjanja tafuta yellow fever card. Ila kama unaweza kujiongeza basi electronic au temporary passport inatosha. Unaweza kutoboa mpaka South Sudan kwa electronic passport ila kwenye kutoka huko watakufurahisha
 
Huwa zinaisha muda wake, ila jamaa huwa sioni wakikagua muda, wakijiridhisha kwamba cheti ni cha kwako basi.
Mimi ninacho cha miaka mingi sana na nimekatiza nacho kote kote hadi Sudan Kusini.
Mkuu wakati wa kutoka huko South Sudan hawakukuzingua? Mimi walinizingua sana, nafika Airport eti wanadai lazima niwe na Visa, pumbavu sana hao jamaa, na ukileta utata wanakupiga shaba, silaha nje nje
 
Huwa zinaisha muda wake, ila jamaa huwa sioni wakikagua muda, wakijiridhisha kwamba cheti ni cha kwako basi.
Mimi ninacho cha miaka mingi sana na nimekatiza nacho kote kote hadi Sudan Kusini.
Mimi changu ni cha "LIFETIME". Sihitajiki kuchanjwa tena.
 
Attachments

  • IMG_20241123_141751_509.jpg
    IMG_20241123_141751_509.jpg
    123.1 KB · Views: 6
  • IMG_20241123_141941_996.jpg
    IMG_20241123_141941_996.jpg
    462.8 KB · Views: 5
Back
Top Bottom