Ni kweli fundi wa mwisho aliniambia kwa picha hiyo mfano gharama yake ni mil 55 tofauti kabisa na wengine.kwa uelewa wangu mdogo hakuna changamoto ngumu kama kuweka budget ya ujenzi.. ksb kuna vitu ambavyo huwa havipo kwenye makadirio na vinakula hela nyingi na ndivyo vinapelekea kuharibu budget....
Ushauri jipange anza na budget msingi maji cement mchanga mawe nenda budget ya kuapndisha ukuta ... ring beam kenji bati. then rudi kenye finishing
Nashukuru sana, wakati mwingine naogopa kuanza ujenzi ambao siwezi kualiza. Kuna rafiki yangu alinza kujenga msingi tu kumaliza akagundua kuwa nyumba ni kubwa na hawezi kuimaliza, akaishia kuuza kabisa aanze kujipanga upya. Na kwa bahati mbaya akauza kwa hasara kubwa so unajua tunajifunza kwa makosa ya wengine?Kwani unavyouliza gharama ya nyumba nzima unataka uijue ili utafute hela yote ndo ukaanze ujenzi? Kama ni hivyo utajikuta unachelewa sana kuanza unless unajenga kiprofesheno kwa kumkabidhi ujenzi injinia au kampuni, lakini kama utaamua kujenga kwa kutumia mafundi wa mtaani basi ingia site hata kama una hela ya msingi tu fanya kwa awamu ila uwe makini sana kwenye usimamizi. Ishu ni kuanza mengine yatafata baadae
Nakubaliana na wewe kwamba ni vizuri kuijua gharama ya jumla ili ujue kama utaweza kuimudu, lakini huo mfano wako wa mtu aliyefeli badala ya kukupa ujasiri unaweza ukawa unakupa woga tu mkuu...chukua na mifano ya waliofanikiwa kwa njia hiyo ili uwe inspired, ujenzi ni mgumu lakini inawezekana kwa kwenda mdogo mdogoNashukuru sana, wakati mwingine naogopa kuanza ujenzi ambao siwezi kualiza. Kuna rafiki yangu alinza kujenga msingi tu kumaliza akagundua kuwa nyumba ni kubwa na hawezi kuimaliza, akaishia kuuza kabisa aanze kujipanga upya. Na kwa bahati mbaya akauza kwa hasara kubwa so unajua tunajifunza kwa makosa ya wengine?
Ndio maanat nimekuja hapa ili walifanikisha kwa namna yoyete wanipe uzoefu halafut na mimi nitachanganya na zanguNakubaliana na wewe kwamba ni vizuri kuijua gharama ya jumla ili ujue kama utaweza kuimudu, lakini huo mfano wako wa mtu aliyefeli badala ya kukupa ujasiri unaweza ukawa unakupa woga tu mkuu...chukua na mifano ya waliofanikiwa kwa njia hiyo ili uwe inspired, ujenzi ni mgumu lakini inawezekana kwa kwenda mdogo mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa ushauri, niwe na Subira ili iweje hujafafanua.Sunira hadi niwe na pesa kamili ya kumaliza mradi wote? Hapa sijaelewaLa kwanza na muhimu kuliko yote ni kuwa na subira!
Unless utumie mkandarasi kukujengea. Ila kama utatumia hawa mafundi wetu wa kienyeji...jiandae kisaikolojia kukabiliana na kila aina ya ushenzi....
Asante mkuu, nilikuwa nasikia tu hizo BOQ sikujua maana yake.Izo quotations unazitoa kwa kina nani kwani? Nakushauri tafuta Qs mzuri akuandalie BoQ yako hutojutia hao wamekaa darasani kusoma hizo mambo achana na hao fundi kanjanja.
A qs estimate has an error of + or - 5% to the actual cost of the project nothing more nothing less.
Bila sote tutakifunza kwa sababu tayari Kuna maoni yametolewa hivyo tutaweza kupata njia ya kuanziaLast weekend nilimvuta pembeni fundi wa kampuni fulani anisaidie kufanya makadirio, aisee nilijuta sijajua alinitisha sana au ni mimi tu ndio sina hela. Bado nakusanya maarifa hapa.
Nashukuru sana, wakati mwingine naogopa kuanza ujenzi ambao siwezi kualiza. Kuna rafiki yangu alinza kujenga msingi tu kumaliza akagundua kuwa nyumba ni kubwa na hawezi kuimaliza, akaishia kuuza kabisa aanze kujipanga upya. Na kwa bahati mbaya akauza kwa hasara kubwa so unajua tunajifunza kwa makosa ya wengine?
Imetulia hii