Wenye uzoefu

Wenye uzoefu

Inategemea madem wengi kwa sas hawatongozwi ni jins gan tu unaweza kucheza na akili yake ili haingie kingi, mfano Dem Anasema Ana mtu wake lkn ukiomba mkutane anakuja bila kupinga broh uyo analika vzur tu kikibwa msome Kwanza no Dem wa aina gan
 
Kwan ww una uwakika kuwa ana mtu wake? We komaa nae tu wengne huwa wanazuga tu
 
Wale mliokataliwa kwanza halfu baadae mkakubaliwa tupeni experience zenu. Unakuta unampenda demu. Ukimtongoza anasema yeye ana mahusiano . what should be next. Uendelee kuinsist ama uchomoe!
Unaachana nae kiroho safi unatafuta demu mwingine tu, mbona wapo wa kumwaga?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wale mliokataliwa kwanza halfu baadae mkakubaliwa tupeni experience zenu. Unakuta unampenda demu. Ukimtongoza anasema yeye ana mahusiano . what should be next. Uendelee kuinsist ama uchomoe!
Sijui watu wenye fikra Kama zangu wapo?
Mimi siwezi kuanzisha mahusiano na mwanamke ambae hayuko kwenye mahusiano(asiwe mke wa mtu)

Hua Sina muda kuuguza maumivu ya mtu kaachwa au yuko singo Ana maumivu yake. Kwanini awe singo?
Yaani wanaume wote hawataki kuwa nae halafu Mimi ndo nimtake!

Nadhani umeelewa dogo maana yake mi huwa nachukuwa mwanamke aliye kuwenye mahusiano halafu nahamishia kwangu, fala huyo aliyekuwanae lazima nihakikishe anapiwa chini Mimi najimilikisha. Sitaki kuanzia negative.

Sasa sijui wewe dogo unakwama wapi kisa umeambiwa yuko kwenye mahusiano huyo mwanamke.

Mwambie hata wewe ulikuwa hutegemei eti umkute Yuko singo maana the good one are already taken halafu uendelee uache ufala huo.
 
Cheki hii 👇
3014063_Screenshot_2021-11-26-21-06-26.jpg

Ushauri bora: Ikimbie zinaa, utakuja kunishukuru ukizingatia ushauri huu
 
Feedback:

Niliamua kumpotezea. Nilikuwa na wawili kwenye ladar. Huyu wa pili tulikuwa marafiki. Jana nikaminvite lunch. Weka point zangu akasema atajifikiria. Leo nimepata positive.

NB. Never chase a woman. Right ones will come at the right time
 
Kwani duniani kazaliwa mzuri peke yake...??

Wachuchu wapo wa kumwaga hadi wengine wanalilia penzi...

Back
Top Bottom