Mwenyewe mm muhanga wa kununiwa shost acha tu mm kwakweli nadili na mbebez wangu tu huo mda wa kumnunia mwanamke mwenzangu sinaga aisee hasira zao zote za kubebishana sijui nitazimalizia kwakeYaani shosti mm sikuwahi kujua kama kuna watu wananuniana humu kisa kuchati na mabezi wao....
Hasira zako zote zinaishia kwa mbebezi wako au sio![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shangaa na wewe nitanunia wangapi yaani mm hasira zangu zote zinaishia kwa mbebez
Namm niwepo?? Nmeacha ukorofi DadaOyoooooo...ndio maana nakupenda,ile nyama yetu pendwa ije eeh
Nyama pendwa zipo nyingi ila ikuje mbuziOyoooooo...ndio maana nakupenda,ile nyama yetu pendwa ije eeh
HahahaWhy gunnaring
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanayachukulia maisha ya jf seriously!!
Are foolish[emoji23]Watu wanayachukulia maisha ya jf seriously!!
Ebu weka pichaId fake tafsiri yake ya haraka ni huenda kila kitu fake pia kwa mujibu wa mimi
Is only I'd not heart, feelings or characters!!Id fake tafsiri yake ya haraka ni huenda kila kitu fake pia kwa mujibu wa mimi
Ww nikikubeba tutafaidiana vp saasa? Ww una style zake baana ambazo ukipatiwa hadi utatukanaKwahiyo sisi matipwa tipwa vibonge nyanya hatufai kubebwa mfyuuuu
Ndiwooooooo mm sidili na mwanamke mwenzangu yaani wala simuonyeshei tofauti yoyote nitanunia wangapi mieHasira zako zote zinaishia kwa mbebezi wako au sio![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio kwa ulinzi huo mweeee !!! Me na we?? KuleeeeeUsengwile wiwo wangu,.yaani hapa unalindiwa mali hadi nywele...
Naguna tu mimi hapa mumuHeeeeeyy man what nah'..?!ni weekend ujuee
Umeona eeenh nakazia mmMaana yeye ndo chanzo cha yote,kwa nini asijizuie kuchatchat na wadada humu kama ana mbebz!
Mh diet unawezaShoga Niko kwenye diet hapa nafunga mpk usiku,naenda kutafuta corset fastaa nirudi size 0
Nataka na mm kubebwa sasaWw nikikubeba tutafaidiana vp saasa? Ww una style zake baana ambazo ukipatiwa hadi utatukana
[emoji45][emoji45][emoji45]Naguna tu mimi hapa mumu
Ray ,angalia yasivunje bali yajenge.[emoji23][emoji23][emoji23]Naleta km yalivyooo