Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mwenyewe mm muhanga wa kununiwa shost acha tu mm kwakweli nadili na mbebez wangu tu huo mda wa kumnunia mwanamke mwenzangu sinaga aisee hasira zao zote za kubebishana sijui nitazimalizia kwakeYaani shosti mm sikuwahi kujua kama kuna watu wananuniana humu kisa kuchati na mabezi wao....