Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Wenye wabebz JF msiwe mnatuchunia tukiwa tunachat nao humu JF

Id fake tafsiri yake ya haraka ni huenda kila kitu fake pia kwa mujibu wa mimi
Is only I'd not heart, feelings or characters!!
Binadamu ni wale wale!na wapo waliofika mbali kwenye mahusiano humu wengi tena!

Things are real here!watu wanakulana kikweliii[emoji3] na wivu wanaoneana
 
Back
Top Bottom