Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Wewe ni Kijana masikini halafu humu wote ni matajiri tafuta hela kwanza
Huu ni uongoo bhana, humu wote sio matajiri hata ma jobless pro max tumo.

Mimi Intelligent businessman ni raisi wa chama cha ma jobless pro max, makamu ni Bolotoba,
katibu ni min -me, wakili wa ma jobless ni Selikavu, waziri wa mambo ya ndani Thecoder, msajili wa chama Cha ma jobless ni dosho12, mratibu wa mipango ni Edo kissy

Msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora

Kidumu chama Cha ma jobless pro max
 
Kidumu,
Hata kama ni majobless tujitahidi tuwe na pisi, kuwa single ni shidoπŸ˜‚ jokinπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…